Uchaguzi 2020 Mlitakaje? Yani mnataka Magufuli awapigie debe wagombea wa upinzani?

Sasa maendeleo watapataje ilhali wabunge wa upinzani waliochaguliwa wanasusa na wanatoka kwenye vikao vya bunge?
Unawapelekeaje maendeleo wabunge ambao wewe kama Rais wanakutukana na kukukejeli?
 
Swali kwako mtoa mada. Magufuli anapodai akipewa wapinzani hataleta maendeleo ana uhakika gani kama anashida? Wapumbavu kama nyie dawa ni serikali za majimbo tu huu upuuzi utaisha. Pesa zetu afu utupangie cha kufanya? Hii inapatikana Tanzania tu.
 
Huwa nawaona wapumbavu sana wa akili wanaodhani kupinga bajeti ni kupinga maendeleo!Hizi akili ni zenu kabisa na mmeenda shule na mkapa maarifa?jinga kabisa!
 
Sasa maendeleo watapataje ilhali wabunge wa upinzani waliochaguliwa wanasusa na wanatoka kwenye vikao vya bunge?
Unawapelekeaje maendeleo wabunge ambao wewe kama Rais wanakutukana na kukukejeli?
Hivi maendeleo wanapelekewa wabunge au wanapelekewa wanachi?Mbona mnakuwa wapumbav wa kiwango hiki?Shame!
 
Mkichagua wabunge wapumbavu kama wewe mtakula nyasi.
Ni spana tu akuna kubembeleza.
 
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala.

Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri yenu!!!

Vijana wanaochipukia katika siasa wanapaniki kusikia hivyo na kuanza kuweka tafsiri za kishamba kuwa Rais anabagua.

Huo ni ushamba wa kisiasa, Rais Magufuli yuko kwenye demokrasia ya siasa anapigania nafasi yake na anawapigania wanachama wa Chama chake lazima awanadi na kuwaombea kura hawezi kumnadi mgombea wa upinzani itakuwa kituko.

Licha ya yeye kuwa Rais lakini yuko katika majukwaa ya siasa kama ambavyo viongozi wengine wa CHADEMA na ACT na wengineo pia wako kwenye majukwaa ya siasa na hawawezi kamwe kumpigia debe mgombea wa CCM hata kama amepita bila kupingwa.

Lakini turudi kiuhalisia, kwa nini Mgombea wa CCM anasema maendeleo hayana Chama lakini chagueni CCM? Nimeeleza hapo kuwa hizo ni sababu za convenience ya kiutendaji kwani:

1. Hatuoni jinsi wapinzani wanapoingia mabaraza ya madiwani wanavyokwamisha sera na mipango ya Serikali iliyoki madarakani?;

2. Kwani hatuoni jinsi Bungeni wabunge wa upinzani kwa misimamo ya kupangiwa kutoka nje au kupangiwa na vyama vyao kwa miaka mitano wamekataa kupitisha bajeti na hivyo kama usingekuwa wingi wa CCM nchi ingeingia kwenye mgogoro mkubwa kijamii??

3. Mara ngapi tunaona wapinzani wakipinga kila kinachofanywa na Serikali hata kama kizuri kwa umma? Hawa unawapigiaje debe kwa mfano? Yani unampigia debe mtu ambaye akichaguliwa anaponda ujenzi wa shule, vyuo, hospitali, barabara, madaraja atakwambia ni maendeleo ya vitu sio watu!!! Huyu wa nini?

Hapa ndipo unamuona Rais Magufuli falsafa hake ya "nileteeni diwani wa CCM na Mbunge wa CCM" nikafanye nao kazi.

Kauli hizo za kutaka watendaji watakaosimamia Ilani ya CCM chama kinachokwenda kushinda mchana kweupe, haimaanishi na haijawahi kumaanisha kuwa eneo alipo diwani wa upinzani au mbunge wa upinzani maendeleo hayaendi, la hasha, CCM anaharakisha tu maendeleo, kwani:

1. Ule uwanja wa ndege wa Kigoma hadi Zitto anatua na ndege safi wakati viwanja vingine vya ndege vya mikoa kama Simiyu, Tanga, Ruvuma na kwingineko umejengwa jimbo la mtu wa CCM?

2. Interchange ya Ubungo pale imejengwa jimbo la CCM? Na barabara ya njia nane Ubungo hadi Kimara hadi Kibaha ni jimbo la CCM?

3. Kajenga hospitali 71, vituo vya afya Kata 478 na zahanati zaidi ya 1000 hivi viko majimbo ya CCM pekee???

4. Amekamilisha meli ile Ziwa Victoria MV NEW VICTORIA wanapanda CCM tu?

Yako mengi lakini naseeeemaaaaa hata mimi, kwa kuangalia utendaji wa kinafiki usiosimama kwenye falsafa bayana ya maendeleo ya Taifa, naseemaaa maendeleo hayana chama ila chama kinachoweza kukubakikishia maendeleo ya kweli na ya maana na ambacho hakitaelekezwa na wazungu bali mahitaji ya Mtanzania ni CCM, CCM, CCM.

Asanteni sana.
Mkuu hapo umemaliza. Umetoa mada nzuri sana.

Ukweli ni kwamba wanajua bali tu hawataki kukiri kwamba yote haya uliyo yaandika ni sahii. Ushabiki wao wa kiitikadi na upungufu wao wa maarifa na ujuha walio kuwa nao ndiyo unawatesa.

Ukweli wa mambo wanateseka sana moyoni kuona kwamna sisi waafrika tunaweza kulipeleka gurudumu letu la maendeleo mbele. Wanateseka kwasababu wao ni mbumbumbu kwa hiyo wanataka nasi pia tuwe mambumbumbu kama wao. Wanajaribu kutuaminisha sisi tuukubali umbumbumbu wao. Ili nasi tuonekane kuwa ni majuha kama wao.

Wewe mwangalie mtu wanaye mwita kiongozi wao Lissu alivyo. Lissu ni juha la kutupwa. Pale lilipo halina hata akili na wala hana vision na ndiyo maana anang'ang'ania kuwa kila kitu hatuwezi kukifanya bila mutants (wazungu). Jamaa ni mwendawazimu mkubwa sana. Hana hata ile akili ya kutambua maana ya utu wake kama sokwe. Wazungu wanamwona yeye ni sokwe tu. Hata afanye nini, yeye ni sokwe tu kwenye fikra zao. Sokwe atabaki kuwa sokwe tu daima. Anatutia ahibu sana! Karne ya 21 tuna kuwa na kiongozi anaye wasujudu wazungu? Wakati kwenye nchi za kiafrika wananchi wanajitahudi kuingiza Philosophy nyingine zidi ya wazungu, yeye anataka turudi tena huko?

Msikilizeni ex-president wa Ghana Jerry Rolling emotionally akiwasihi wafaransa waondoke Afrika:

Lissu ni mtu dhaifu sana na ndiyo maana anakubali kutumiwa na kudanganywa na wazungu ili yeye apate umaarufu. Lissu anajiona ni mtu wa thamani sana kuliko watanzania wote wengine, Lissu anajiona kann kwamba ni mtu ambaye amesoma sana sheria kuliko mtanzania mwinngine wakati hajui kuwa yeye ndiyo anayechekwa na wazungu kwa kumwuona kuwa ni limbukieni wao. Wanamtumia tu yeye kwa maslahi yao.

Wajerumani wana msemo wanao utumia kwa mtu kama huyo. Mtu kama huyo anaitwa "Marionette"(puppet), maana yake ni kwamba ni sanamu linalochezeshwa kwenye Theater kwa kutumia kamba au nyuzi nyingi.
Hii ina maana ni mtu ambaye anachezeshwa na watu wengine au kwa ufasaha zaidi ni mtu ambaye anaambiwa nini cha kufanya. Yeye mwenyewe hana maarif hayo na uwezo huo.
Google-Ergebnis für https://previews.123rf.com/images/blueskyimage/blueskyimage1311/blueskyimage131100712/23451617-business-marionette-junger-mann-in-abendkleidung-die-wie-marionetten-bewegen-vor-wei%C3%9Fem-hintergrund.jpg

Na ndiyo maana ukimsikiliza Lissu kwenye kauri zake za kampeni, kilakitu kinachobtoka kinywani mwake ni uongo uongo uongo na uzandiki mtupu. Hiyo ni dalili ya kwamba huyo mtu kichwani hana. Hana uwezo wa kukaa na kufikiri nini kifanyike ili kuleta mandeleo. Anatumia mafakio na nguvu za watu wengine ili kujionyesha kuwa anauwezo wa kufikiri wakati ukweli unamsuta. Uwezo huo hana.

Mtu kichaa utamwona tu pale anapo kandia mafaniko ya Rais Magufuli na ya nchi yake, lakini anayasifu maendeleo ya wazungu kwa kusema kuwa hayo ni takataka. Maflyover yako duniani. Ana sahau kuwa hata wao walianza taratibu mpaka wakafika huko.
Ushahidi ni huu hapa:

Mtu kama Lissu kwa wazungu anaonekana kama sokwe na kwa waafrika ni puppet na kwa watanzania ni mbwiga.

Watanzania msikubali kudanganywa na loser kama huyu. Sisi tuko kwenye mkondo sahii. Huyu ni nyoka wa maendeleo yetu. Anatumiwa na mabeberu kuturudisha sisi nyuma na hana lolote. Ni kichaa na limbukeni wa wazungu kwa manufa yao na yake yeye binafsi. Wakisha mtumia watamtupa vile vile na kumweka mwingine.

Watanzania msihofu. Sisi tuko huru na tunaweza jiamlia mambo yetu wenyewe.
 
Mbona viongozi wao pia sisikii wakisema mchagueni, Rais, Mbunge au Diwani kutoka CCM hata kama ni mzuri! Mhe.Rais yuko sahihi kwani anarejea Ilani, Sera na nidhamu ya chama kama ambavyo wao pia wanamini vyao ni sahihi zaidi!
 
tulia dawa ikuingie wewe mbona una lia lia bwana Lumumba
 
mkuu ushawahi mkuta magu anawaponda wapinzani nje ya kampeni hvi unazijua lugha za kisiasa kweli hapo anatumia hiyo lugha kuwashawishi watu ili apate wabunge wengi maendeleo yasichelewe
Hiyo KATU HAIWEZI kuwa lugha ya kisiasa kwa mtu mwenye dhamana ya jambo husika!

Haiwezi kuwa lugha ya kisiasa kwa sababu ni kweli Magu na serikali yake ndiyo wenye uwezo na mamlaka ya kufanya allocation of resources!

Haiwezi kuwa lugha ya kisiasa kwa sababu tayari hata kabla ya kampeni kumekuwa na tuhuma dhidi ya serikali kwamba inabagua majimbo yanayoongozwa na upinzani!

Kwa mfano, Jaffary Michael, aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini aliwahi kuandika makala kwenye Gazeti la Rai, June 1, 2017 na sehemu ya makala hiyo aliandika:-
Maeneo ambayo yanawakilishwa na vyama vya upinzani yanatengenezewa uyatima wa namna fulani unaotafsiriwa kama vile wananchi walikosea sana kuchagua wawakilishi kutoka vyama vya upinzani.
Kisha akaendelea:-
Kumekuwa na jitihada za watawala za kukwamisha miradi ya maendeleo kwenye maeneo
ambayo wawakilishi wa Wananchi wanaotokana na vyama vya upinzani. Tujiulize sana hivi kwanini mchakato wa upanuzi wa manispaa ya Moshi ambao ulishapata baraka ya waziri wa ardhi kwa kutoa Tangazo kwenye Gazeti la serikali umesitishwa ghafla?Hivi kama sio ubaguzi wa kiitikadi ni nini? Ni lipi kosa la wananchi wa Moshi?

Tuhuma hizo ziwe za kweli au si za kweli lakini zipo, na kwahiyo Magu anapoongea jambo kama hilo inakuwa ni kama anathibitisha tuhuma husika!

Mbali na hayo, wacha nikupe mfano hai ambao nimekutana nao mimi mwenyewe... SIONGOPI!!

Miezi michache iliyopita nilienda Mtoni Kijichi! At my surprise (mshangao mkubwa kweli kweli) nikakuta ile Kijichi niliyokuwa naifahamu mimi ni TOFAUTI SANA na Kijichi ya sasa!

Kijichi iliyokuwa mbele yangu imejengeka kweli kweli! Barabara za mitaani karibu zote ni lami tupu! Nikaoneshwa mradi wa soko na kituo cha daladala... ni VERY AMAZING!!

Nilishindwa kujizuia baada ya kuona kila tukikata kona, tunaingia a new tarmac road... kila barabara tuliyoshika, lami mwanzo hadi mwisho!

Nikajikuta kila wakati nahoji what's happening in Kijichi... mbona kama wamependelewa kupita kiasi!!!

Kama kuna mtu wa Kijichi anaweza kushuhudia haya niyasemayo kuhusu Kijichi ilivyosukwa!

Mama tuliyekuwa nae kwenye gari akasema "wenzetu wanapendelewa kwa sababu wanaichagua CCM sio kule kwetu kila uchaguzi wanachagua upinzani" NAAPA KWA JINA LA MUNGU, hicho ndicho niliambiwa lakini binafsi NIKAPINGA KATAKATA kwamba eti ni kwa sababu wanachagua CCM!!

Sasa maana yake ni nini?! Kumbe hata wananchi wa kawaida na wenyewe WANAAMINI mkichagua CCM kwenye eneo lenu "mnapendelewa" na mkichagua upinzani, mnaliwa buyu na serikali!!!

Sasa Rais wa nchi anaposema kile kile wanachoamini wananchi inaleta picha gani hapo?!

Hivi mtu kama mimi niliyekuwa nimemkatalia yule mama si nitakuwa mpumbavu nikiendelea kukana hata baada ya JPM kuongea lugha ile ile?!!
 
Mkuu hapo umemaliza. Umetoa mada nzuri sana.

Ukweli ni kwamba wanajua bali tu hawataki kukiri kwamba yote haya uliyo yaandika ni sahii. Ushabiki wao wa kiitikadi na upungufu wao wa maarifa na ujuha walio kuwa nao ndiyo unawatesa.

Ukweli wa mambo wanateseka sana moyoni kuona kwamna sisi waafrika tunaweza kulipeleka gurudumu letu la maendeleo mbele. Wanateseka kwasababu wao ni mbumbumbu kwa hiyo wanataka nasi pia tuwe mambumbumbu kama wao. Wanajaribu kutuaminisha sisi tuukubali umbumbumbu wao. Ili nasi tuonekane kuwa ni majuha kama wao.

Wewe mwangalie mtu wanaye mwita kiongozi wao Lissu alivyo. Lissu ni juha la kutupwa. Pale lilipo halina hata akili na wala hana vision na ndiyo maana anang'ang'ania kuwa kila kitu hatuwezi kukifanya bila mutants (wazungu). Jamaa ni mwendawazimu mkubwa sana. Hana hata ile akili ya kutambua maana ya utu wake kama sokwe. Wazungu wanamwona yeye ni sokwe tu. Hata afanye nini, yeye ni sokwe tu kwenye fikra zao. Sokwe atabaki kuwa sokwe tu daima. Anatutia ahibu sana! Karne ya 21 tuna kuwa na kiongozi anaye wasujudu wazungu? Wakati kwenye nchi za kiafrika wananchi wanajitahudi kuingiza Philosophy nyingine zidi ya wazungu, yeye anataka turudi tena huko?

Msikilizeni ex-president wa Ghana Jerry Rolling emotionally akiwasihi wafaransa waondoke Afrika:

Lissu ni mtu dhaifu sana na ndiyo maana anakubali kutumiwa na kudanganywa na wazungu ili yeye apate umaarufu. Lissu anajiona ni mtu wa thamani sana kuliko watanzania wote wengine, Lissu anajiona kann kwamba ni mtu ambaye amesoma sana sheria kuliko mtanzania mwinngine wakati hajui kuwa yeye ndiyo anayechekwa na wazungu kwa kumwuona kuwa ni limbukieni wao. Wanamtumia tu yeye kwa maslahi yao.

Wajerumani wana msemo wanao utumia kwa mtu kama huyo. Mtu kama huyo anaitwa "Marionette"(puppet), maana yake ni kwamba ni sanamu linalochezeshwa kwenye Theater kwa kutumia kamba au nyuzi nyingi.
Hii ina maana ni mtu ambaye anachezeshwa na watu wengine au kwa ufasaha zaidi ni mtu ambaye anaambiwa nini cha kufanya. Yeye mwenyewe hana maarif hayo na uwezo huo.
Google-Ergebnis für https://previews.123rf.com/images/blueskyimage/blueskyimage1311/blueskyimage131100712/23451617-business-marionette-junger-mann-in-abendkleidung-die-wie-marionetten-bewegen-vor-wei%C3%9Fem-hintergrund.jpg

Na ndiyo maana ukimsikiliza Lissu kwenye kauri zake za kampeni, kilakitu kinachobtoka kinywani mwake ni uongo uongo uongo na uzandiki mtupu. Hiyo ni dalili ya kwamba huyo mtu kichwani hana. Hana uwezo wa kukaa na kufikiri nini kifanyike ili kuleta mandeleo. Anatumia mafakio na nguvu za watu wengine ili kujionyesha kuwa anauwezo wa kufikiri wakati ukweli unamsuta. Uwezo huo hana.

Mtu kichaa utamwona tu pale anapo kandia mafaniko ya Rais Magufuli na ya nchi yake, lakini anayasifu maendeleo ya wazungu kwa kusema kuwa hayo ni takataka. Maflyover yako duniani. Ana sahau kuwa hata wao walianza taratibu mpaka wakafika huko.
Ushahidi ni huu hapa:

Mtu kama Lissu kwa wazungu anaonekana kama sokwe na kwa waafrika ni puppet na kwa watanzania ni mbwiga.

Watanzania msikubali kudanganywa na loser kama huyu. Sisi tuko kwenye mkondo sahii. Huyu ni nyoka wa maendeleo yetu. Anatumiwa na mabeberu kuturudisha sisi nyuma na hana lolote. Ni kichaa na limbukeni wa wazungu kwa manufa yao na yake yeye binafsi. Wakisha mtumia watamtupa vile vile na kumweka mwingine.

Watanzania msihofu. Sisi tuko huru na tunaweza jiamlia mambo yetu wenyewe.
Kama ni puppets wako Ccm . Ni wale waliowapa mabeberu madini yetu kwa mirahaba ya 3% , kwa mikataba mibovu ya miaka 100 isiyoweza kuvunjwa wala kurekebishwa.

Mnaona mfiche udhaifu wenu kwa wapinzani. Watu tuna akili tunaona
 
Yaani kama pamoja na kuandika hayo hapo juu na bado hufahamu wanacholalamikia ACT basi utakuwa na matatizo makubwa ya uelewa... jambo ambalo ndio mtaji mkubwa wa CCM!!

Yaani Rais wa nchi anatangaza hadharani kwamba mkimchagua huyu sitawaleteamaendeleo utadhani hayo maendeleo yanaletwa na pesa za babake halafu bado unaona sawa?!

Yaani kuwaambia wananchi mkichagua wapinzani hamtapata maendeleo yote hayo kwako unaona sawa?!

Kwamba eti ni tafsiri za kishamba, unaweza kutuambia huwa anamaanisha nini hapo?!

Acheni kutetea upumbavu na acheni huu ujinga wa kudhani nchi ni ya kwenu!!
Ulitaka aseme mkichagua wapinzani mtapata maendeleo?

Mbona Lisu kila siku anasema msiichague ccm?

Hizi ni kampeni jamani mbona mnakuwa na uelewa finyu?

Magu ananadi chama chake cha ccm, hata Lisu nae yuko huku na huko ananadi chama chake cha chadema na hakuna hata siku moja ameitaja ccm kwa mazuri
 
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala.

Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri yenu!!!

Vijana wanaochipukia katika siasa wanapaniki kusikia hivyo na kuanza kuweka tafsiri za kishamba kuwa Rais anabagua.

Huo ni ushamba wa kisiasa, Rais Magufuli yuko kwenye demokrasia ya siasa anapigania nafasi yake na anawapigania wanachama wa Chama chake lazima awanadi na kuwaombea kura hawezi kumnadi mgombea wa upinzani itakuwa kituko.

Licha ya yeye kuwa Rais lakini yuko katika majukwaa ya siasa kama ambavyo viongozi wengine wa CHADEMA na ACT na wengineo pia wako kwenye majukwaa ya siasa na hawawezi kamwe kumpigia debe mgombea wa CCM hata kama amepita bila kupingwa.

Lakini turudi kiuhalisia, kwa nini Mgombea wa CCM anasema maendeleo hayana Chama lakini chagueni CCM? Nimeeleza hapo kuwa hizo ni sababu za convenience ya kiutendaji kwani:

1. Hatuoni jinsi wapinzani wanapoingia mabaraza ya madiwani wanavyokwamisha sera na mipango ya Serikali iliyoki madarakani?;

2. Kwani hatuoni jinsi Bungeni wabunge wa upinzani kwa misimamo ya kupangiwa kutoka nje au kupangiwa na vyama vyao kwa miaka mitano wamekataa kupitisha bajeti na hivyo kama usingekuwa wingi wa CCM nchi ingeingia kwenye mgogoro mkubwa kijamii??

3. Mara ngapi tunaona wapinzani wakipinga kila kinachofanywa na Serikali hata kama kizuri kwa umma? Hawa unawapigiaje debe kwa mfano? Yani unampigia debe mtu ambaye akichaguliwa anaponda ujenzi wa shule, vyuo, hospitali, barabara, madaraja atakwambia ni maendeleo ya vitu sio watu!!! Huyu wa nini?

Hapa ndipo unamuona Rais Magufuli falsafa hake ya "nileteeni diwani wa CCM na Mbunge wa CCM" nikafanye nao kazi.

Kauli hizo za kutaka watendaji watakaosimamia Ilani ya CCM chama kinachokwenda kushinda mchana kweupe, haimaanishi na haijawahi kumaanisha kuwa eneo alipo diwani wa upinzani au mbunge wa upinzani maendeleo hayaendi, la hasha, CCM anaharakisha tu maendeleo, kwani:

1. Ule uwanja wa ndege wa Kigoma hadi Zitto anatua na ndege safi wakati viwanja vingine vya ndege vya mikoa kama Simiyu, Tanga, Ruvuma na kwingineko umejengwa jimbo la mtu wa CCM?

2. Interchange ya Ubungo pale imejengwa jimbo la CCM? Na barabara ya njia nane Ubungo hadi Kimara hadi Kibaha ni jimbo la CCM?

3. Kajenga hospitali 71, vituo vya afya Kata 478 na zahanati zaidi ya 1000 hivi viko majimbo ya CCM pekee???

4. Amekamilisha meli ile Ziwa Victoria MV NEW VICTORIA wanapanda CCM tu?

Yako mengi lakini naseeeemaaaaa hata mimi, kwa kuangalia utendaji wa kinafiki usiosimama kwenye falsafa bayana ya maendeleo ya Taifa, naseemaaa maendeleo hayana chama ila chama kinachoweza kukubakikishia maendeleo ya kweli na ya maana na ambacho hakitaelekezwa na wazungu bali mahitaji ya Mtanzania ni CCM, CCM, CCM.

Asanteni sana.
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Vijana wa Upinzani wamevurugwa na wamekuwa hopeless kweli kweli yani
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Yaani kuna watu wapumbavu sana kwa kutetea ujinga ujinga!!

Yaani Jiwe anavyofanya utadhani hii nchi ni shamba la babake, na kwahiyo kinachopatikana yeye ndo mwenye haki ya kumpa amtakae na kumyima amtakae, na bado wanatokea wapumbavu wanatetea ujinga kama huu!

Very stupid!

Huku kima mleta mada kaniharibia sana siku yangu!!
Alafu unataka demcrasia? Yani mtu kutoa maoni yake wewe unakasirika?

Vipi kwanza corona iliondoka na wangapi kwenye familia yako? Au ulikimbilia kwa marais wenye akili Kenyata, Museven na Kagame?
 
CCM hoyeeee. Magufuli hoyeeeeee
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
 
Mshua anakwama sana hajui kuongea huyo angebakigi tuu kuwa waziri maana hana busara kabisa na hana break na maneno yake mara maendeleo hayana chama, sisi wote ni watanzania mara ukichagua upinzani mtajuta sasa. Tumuelewe vp, mbona anafeli sana
Magu is no more than Nyapara, na ndio maana JK alihakikisha anapita ili awe nyapara wa miradi aliyokuwa ameanzisha!!!
 
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala.

Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri yenu!!!

Vijana wanaochipukia katika siasa wanapaniki kusikia hivyo na kuanza kuweka tafsiri za kishamba kuwa Rais anabagua.

Huo ni ushamba wa kisiasa, Rais Magufuli yuko kwenye demokrasia ya siasa anapigania nafasi yake na anawapigania wanachama wa Chama chake lazima awanadi na kuwaombea kura hawezi kumnadi mgombea wa upinzani itakuwa kituko.

Licha ya yeye kuwa Rais lakini yuko katika majukwaa ya siasa kama ambavyo viongozi wengine wa CHADEMA na ACT na wengineo pia wako kwenye majukwaa ya siasa na hawawezi kamwe kumpigia debe mgombea wa CCM hata kama amepita bila kupingwa.

Lakini turudi kiuhalisia, kwa nini Mgombea wa CCM anasema maendeleo hayana Chama lakini chagueni CCM? Nimeeleza hapo kuwa hizo ni sababu za convenience ya kiutendaji kwani:

1. Hatuoni jinsi wapinzani wanapoingia mabaraza ya madiwani wanavyokwamisha sera na mipango ya Serikali iliyoki madarakani?;

2. Kwani hatuoni jinsi Bungeni wabunge wa upinzani kwa misimamo ya kupangiwa kutoka nje au kupangiwa na vyama vyao kwa miaka mitano wamekataa kupitisha bajeti na hivyo kama usingekuwa wingi wa CCM nchi ingeingia kwenye mgogoro mkubwa kijamii??

3. Mara ngapi tunaona wapinzani wakipinga kila kinachofanywa na Serikali hata kama kizuri kwa umma? Hawa unawapigiaje debe kwa mfano? Yani unampigia debe mtu ambaye akichaguliwa anaponda ujenzi wa shule, vyuo, hospitali, barabara, madaraja atakwambia ni maendeleo ya vitu sio watu!!! Huyu wa nini?

Hapa ndipo unamuona Rais Magufuli falsafa hake ya "nileteeni diwani wa CCM na Mbunge wa CCM" nikafanye nao kazi.

Kauli hizo za kutaka watendaji watakaosimamia Ilani ya CCM chama kinachokwenda kushinda mchana kweupe, haimaanishi na haijawahi kumaanisha kuwa eneo alipo diwani wa upinzani au mbunge wa upinzani maendeleo hayaendi, la hasha, CCM anaharakisha tu maendeleo, kwani:

1. Ule uwanja wa ndege wa Kigoma hadi Zitto anatua na ndege safi wakati viwanja vingine vya ndege vya mikoa kama Simiyu, Tanga, Ruvuma na kwingineko umejengwa jimbo la mtu wa CCM?

2. Interchange ya Ubungo pale imejengwa jimbo la CCM? Na barabara ya njia nane Ubungo hadi Kimara hadi Kibaha ni jimbo la CCM?

3. Kajenga hospitali 71, vituo vya afya Kata 478 na zahanati zaidi ya 1000 hivi viko majimbo ya CCM pekee???

4. Amekamilisha meli ile Ziwa Victoria MV NEW VICTORIA wanapanda CCM tu?

Yako mengi lakini naseeeemaaaaa hata mimi, kwa kuangalia utendaji wa kinafiki usiosimama kwenye falsafa bayana ya maendeleo ya Taifa, naseemaaa maendeleo hayana chama ila chama kinachoweza kukubakikishia maendeleo ya kweli na ya maana na ambacho hakitaelekezwa na wazungu bali mahitaji ya Mtanzania ni CCM, CCM, CCM.

Asanteni sana.
Umemaliza yote... waanze wao wapinzani kuombea kura watu wa CCM
 
Mi pia sikuwaelewa bavicha kuikomalia hii ishu maana sioni ni jinsi gani chuma angesimama jukwaani kumuombea kura mgombea ubunge wa upinzani.. Bavicha wamevurugwa
 
Japo si mwanasiasa. I think the point is maendeleo hayana chama. hii dhana ya kwamba ukichagua flani maendeleo hayaji.. ni dhana potofu.
Maendeleo yaoelekwe majimbo yote tena kwa wananchi bila kujal mmbunge aliyechaguliwa. Maana pesa za kutekeleza maendeleo ni za watanzania. Hatoi mtu mfukoni kwake.. na si hisani.
 
Back
Top Bottom