Nani alikuomba ushauri wako mkuu mbona umepanic una mazonge?Kichwani Kwako zingekuwa zinakutosha vizuri tu usingeniuliza hili Swali la 'Kipopoma / Kipumbavu' wakati 'Headline' yangu tu ni Jibu tosha Kwako.
Mwaka huu mtaona.Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.
Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
HanagaPoint yako nini mkuu?
Hakuna aliyedediMwaka huu mtaona.
Na tayari leo mmoja amededishwa
Hawa wenye serikali wataleta machafuko1
Kama hapo Hai wange retaliate leo,kuna watu wangekufa...guess who will be blamed?
Kuna majitu mazima yana mvi yanafanya mchezo na maisha ya watu.....mapunguani kabisa yaani!
Ulimtabiria makonda sina hamu na wewe
heri kufa katika haki kuliko kufa katika dhambi,kukaa kimya maouvu yakishamili ni dhambi mbaya sana
Nani alikuomba ushauri wako mkuu mbona umepanic una mazonge?
Naendelea Kukusisitiza tena huku 'nikijiamini' kabisa kuwa kwa Kizazi cha Juzi na cha Jana huu ' Ubavu' hawana labda kwa kile cha baadae Mkuu.
BandiduHanaga
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.
Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Wasichokijua ni matokeo yake huku uraiani. Funzo la zenji mpaka kuwepo maridhiano halijatuingia kichwani.Kwahiyo unafurahia hizo rafu za kisiasa?
Mwaka huu mtaona.
Na tayari leo mmoja amededishwa
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!
Hanaga
Kwa mambo yanavyokwenda sasa, kiberiti kitawashwa tu hivi punde tu na hao wa kutawala miaka 59 sijui itakuwaje betri ikichomolewa... genocide inanukia muda si mrefu kwa kweli...Kuna Watu akina GENTAMYCINE tukiwa 'tunawashauri' mambo hapa huwa wanatuona ni 'Mapopoma' sasa wanaanza Kuyaona na hapo bado sana.
Je katika kudedishana huko kunakotafutwa kwa makusudi nini kitafuata? Je washangiliaji wa matukio jaya ovu watakuwa wakiishi sehemu tengwa na wahanga wao?Na msichokijua sasa nyie 'mnategwa' makusudi ili muanze 'Kuwadedisha' hivyo kisha na Wao wanapata sababu ya 'Kuwadedisha' kwa Uwingi wenu.
..kwani ulishauri "mwamba" arudi nchini wakati gani?
..inawezekana yeye mwenyewe alikuwa anataka kurudi, ila viongozi wake ndio walikuwa wakimchelewesha.
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!
Upole wa wanachadema utawagharimuNilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.
Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?