Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

Kichwani Kwako zingekuwa zinakutosha vizuri tu usingeniuliza hili Swali la 'Kipopoma / Kipumbavu' wakati 'Headline' yangu tu ni Jibu tosha Kwako.
Nani alikuomba ushauri wako mkuu mbona umepanic una mazonge?
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Mwaka huu mtaona.
Na tayari leo mmoja amededishwa
 
Hawa wenye serikali wataleta machafuko1

Kama hapo Hai wange retaliate leo,kuna watu wangekufa...guess who will be blamed?

Kuna majitu mazima yana mvi yanafanya mchezo na maisha ya watu.....mapunguani kabisa yaani!

Wenye Baraka za Kuona mbali 'Kimaono' akina GENTAMYCINE tulipowashauri mapema tu hapa JF mlituelewa? Mlinitukana sana na leo mnayaona!!
 
heri kufa katika haki kuliko kufa katika dhambi,kukaa kimya maouvu yakishamili ni dhambi mbaya sana

Naendelea Kukusisitiza tena huku 'nikijiamini' kabisa kuwa kwa Kizazi cha Juzi na cha Jana huu ' Ubavu' hawana labda kwa kile cha baadae Mkuu.
 
Nani alikuomba ushauri wako mkuu mbona umepanic una mazonge?

Acha Kunipotezea muda wangu tafadhali Wewe 'Deadhead' Mmoja sawa? Halafu mbona 'unahangaika' sana na Mimi na huu Uzi wangu? Nimekuita?
 
Naendelea Kukusisitiza tena huku 'nikijiamini' kabisa kuwa kwa Kizazi cha Juzi na cha Jana huu ' Ubavu' hawana labda kwa kile cha baadae Mkuu.

..kwani ulishauri "mwamba" arudi nchini wakati gani?

..inawezekana yeye mwenyewe alikuwa anataka kurudi, ila viongozi wake ndio walikuwa wakimchelewesha.
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!
 
Mwaka huu mtaona.
Na tayari leo mmoja amededishwa

Na msichokijua sasa nyie 'mnategwa' makusudi ili muanze 'Kuwadedisha' hivyo kisha na Wao wanapata sababu ya 'Kuwadedisha' kwa Uwingi wenu.
 
Hicho ndicho kinachotafutwa "makafara ya albino na wenye ulemavu wameona hayafai tena sasa wameamua kutoa vijana wawe wahanga kwa ujira wa mlo mmoja na mapambio
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!
 
Kuna Watu akina GENTAMYCINE tukiwa 'tunawashauri' mambo hapa huwa wanatuona ni 'Mapopoma' sasa wanaanza Kuyaona na hapo bado sana.
Kwa mambo yanavyokwenda sasa, kiberiti kitawashwa tu hivi punde tu na hao wa kutawala miaka 59 sijui itakuwaje betri ikichomolewa... genocide inanukia muda si mrefu kwa kweli...
 
Na msichokijua sasa nyie 'mnategwa' makusudi ili muanze 'Kuwadedisha' hivyo kisha na Wao wanapata sababu ya 'Kuwadedisha' kwa Uwingi wenu.
Je katika kudedishana huko kunakotafutwa kwa makusudi nini kitafuata? Je washangiliaji wa matukio jaya ovu watakuwa wakiishi sehemu tengwa na wahanga wao?
Baada ya kuwamaliza wa nje mjue watarudi ndani kufagia pia
 
..kwani ulishauri "mwamba" arudi nchini wakati gani?

..inawezekana yeye mwenyewe alikuwa anataka kurudi, ila viongozi wake ndio walikuwa wakimchelewesha.

Nilishauri sana na mno tu hapa kuwa 'Mwamba' asirejee 2020 na kama inawezekana abaki huko 'Ubeleshini' akijipanga na arejee huku rasmi 2025.
 
Yule dogo kapewa kipondo hadi wakajua amekufa. Ole Sabaya na OCD waliyemtuma wao wanakunywa wine tu!

Sasa subiria uone jinsi watakavyolipiza Kisasi na nitakuomba tena urudi hapa uje utupe 'Mrejesho' wake kwani najua kuna 'Dhahama' inaenda Kuja.
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Upole wa wanachadema utawagharimu
 
Back
Top Bottom