Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

Wasichokijua ni matokeo yake huku uraiani. Funzo la zenji mpaka kuwepo maridhiano halijatuingia kichwani.

Acha kabisa Kuwafananisha 'Wazenji' na 'Wabara' Mkuu sawa? Hakuna Watu 'Manyali / Waoga' wa 'Vipigo' kama Watu wa huku Kwetu Bara sawa?
 
Kwa mambo yanavyokwenda sasa, kiberiti kitawashwa tu hivi punde tu na hao wa kutawala miaka 59 sijui itakuwaje betri ikichomolewa... genocide inanukia muda si mrefu kwa kweli...
Hili ndilo washangiliaji wengi wanaotumia matumbo kufikiri hawaliwazi kwa maana wameshiba.
Taratibu umoja na udugu wetu vinaondolewa kwa maana wako waaminio vyombo dola pekee ndio hutunza amani!!
Hatujifunzi...
 
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium nilijua tu kuwa kuna Maandalizi 'Kabambe' ya 'Kuwamaliza' na 'Kuwakomoa' yalikuwa yanakuja na tayari yameshaanza.

Kama hivi tu Timu bado inapasha Moto Viungo vyake kujiandaa na Mechi imeshaanza 'Kukomolewa' je, vipi Mechi ikianza rasmi Wiki kadhaa zijazo?
Mechi na ije ya meno kwa meno maana ni idadi ya meno ndiyo itaamua
 
Kwa mambo yanavyokwenda sasa, kiberiti kitawashwa tu hivi punde tu na hao wa kutawala miaka 59 sijui itakuwaje betri ikichomolewa... genocide inanukia muda si mrefu kwa kweli...

Kwa 'Ujasiri' tu wa 'Kupambana' kupitia humu 'Mitandaoni' najua wengi mnaweza / tunaweza ila Kujitokeza 'Hadharani' wengi Wetu ni Waoga mno.
 
Nilishauri sana na mno tu hapa kuwa 'Mwamba' asirejee 2020 na kama inawezekana abaki huko 'Ubeleshini' akijipanga na arejee huku rasmi 2025.

..I see.

..kuna watu wengi walifikiria hivyo.

..lakini nadhani mwamba mwenyewe alikuwa amechoka kuwa mpweke ktk nchi za watu.

..pia hizi habari mtukufu aendelee mpaka atakapochoka 2025 ingeweza kusogezwa mbele kuwa 2035.

..ila "mwamba" ndio kaisha tia timu, sasa unashauri nini kifanyike?
 
Acha kabisa Kuwafananisha 'Wazenji' na 'Wabara' Mkuu sawa? Hakuna Watu 'Manyali / Waoga' wa 'Vipigo' kama Watu wa huku Kwetu Bara sawa?
Mkuu lipo suala la nyakati, Je umesahau lipigwapo "yowe" wenye kutoka na fimbo humsaka mwizi wao mwenye gobore?
Falsafa: panya akizidiwa humuuma paka... kitu cha kuogopa ni mikambi na mateke atupayo punda akatapo roho.
TUJITATHMINI SASA...
 
Hilo wazo nimemuona Mhe nape nnauye akiliwekea msisitizo lifanyike kwa weredi.

Nape amesema hata akiwa mjomba wako wewe piga tu.
Huo sio uchochezi bali ndio uzalendo unaosifiwa. Na wa upinzani wakitoa kauli hizo "wasionywe wala kunyamazishwa"
Kisiwa cha amani, utulivu na kuaminiana ndio hivyo kinajengwa
 
..I see.

..kuna watu wengi walifikiria hivyo.

..lakini nadhani mwamba mwenyewe alikuwa amechoka kuwa mpweke ktk nchi za watu.

..pia hizi habari mtukufu aendelee mpaka atakapochoka 2025 ingeweza kusogezwa mbele kuwa 2035.

..ila "mwamba" ndio kaisha tia timu, sasa unashauri nini kifanyike?

Awe tu 'Mwangalifu' Mkuu kwani 'Yajayo Hayafurahishi' hasa kwa Mwezi ujao ambapo atatakiwa kuwa Mahakamani Kisutu nina Hofu Kubwa sana.
 
Awe tu 'Mwangalifu' Mkuu kwani 'Yajayo Hayafurahishi' hasa kwa Mwezi ujao ambapo atatakiwa kuwa Mahakamani Kisutu nina wasiwasi ila naomba niishie tu hapa tafadhali.

..wakimfunga watakuwa wamerahisisha kazi ya vyama makini kuungana nyuma ya mgombea mmoja wa uraisi.
 
Mkuu lipo suala la nyakati, Je umesahau lipigwapo "yowe" wenye kutoka na fimbo humsaka mwizi wao mwenye gobore?
Falsafa: panya akizidiwa humuuma paka... kitu cha kuogopa ni mikambi na mateke atupayo punda akatapo roho.
TUJITATHMINI SASA...

Siyo kwa Tanzania hii Mkuu na acha 'Kuwaponza' Wenzako tafadhali. Nawaambieni haya kwa nia njema tu na Upendo wangu wa Kutukuka Kwenu.
 
Hivi Tanzania hii hii ambayo GENTAMYCINE ninaijua na naiishi pia kuna Vyama vya Upinzani Makini? Labda uniambie kuna Wapinzani Wanafiki tu.

..basi tuseme wakimfunga watakuwa wamerahisha kazi ya kuunganisha vyama vya wapinzani wanafiki na kuwa nyuma ya mgombea mmoja wa uraisi.
 
..basi tuseme wakimfunga watakuwa wamerahisha kazi ya kuunganisha vyama vya wapinzani wanafiki na kuwa nyuma ya mgombea mmoja wa uraisi.

Kwahiyo Watanzania wamekuambia kuwa wanataka 'Kuongozwa' na 'Wapinzani Wanafiki' Mkuu? Wapinzani wa kweli 'Tanzania' yetu hii bado sana.
 
Eti alitaka Lissu asingekuja angebaki huko-huko Ubeligiji ili ofisi na magari ya CDM yasivamiwe na green guard.

Kuna Siku yoyote ile labda niltoa Tangazo hapa la Ajira kuwa GENTAMYCINE natafuta 'Spokesman / Spokeswoman' na ukabahatika Kuipata Wewe?
 
Hivi hilo jino lenyewe tunalo?

Nilikuwa natafuta tu 'post' ya Kunifanya nicheke ili niki 'Log Out' hapa dakika Saba ( 7 ) zijazo niweze Kulala nikiwa nimejiongeza Siku za Kupumua.
 
Back
Top Bottom