Mliwasema sana watoto wa 2000 sasa hawa wa 2010 ndio mtalonga sio kusema tena

Mliwasema sana watoto wa 2000 sasa hawa wa 2010 ndio mtalonga sio kusema tena

Sema hivi vitoto vya sikuhizi vimezidi asee sijui ndo mitandao

Kuna mmoja mtoto wa rafiki yangu anasoma shule xxxx mzee aliitwa shuleni amchukue mwanae baada ya kupigana na mwalimu hawa ajira mpya kisa anatembea na mme wake na kabinti kanajisifu kanatoa mpaka line 2 🤔🤔🤔
 
Hawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule

Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?

Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄

Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
 
Back
Top Bottom