Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Huu ulikua mtego 😄yeye ni Mpemba
Huu ulikua mtego 😄yeye ni Mpemba
huyo maana yake ni tofautiLabda kama ni zindiko
Ana maana ganihuyo maana yake ni tofauti
hahahahaha aiseeee ndiyo yale yale hydroxo mimi siongei hapa utaanza UDINI UDINIHawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule
Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?
Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄
Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
mkoa na wilaya au kata iliyopo shuleHawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule
Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?
Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄
Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
ni hiyo hiyo ila kule juu kuna aliyemaanisha umriAna maana gani
Wilaya ya Ubungo, Kata achana nayo Mkuumkoa na wilaya au kata iliyopo shule
balaaaa kabisa mambo yale yale kwenye nyuzi nyingine kuna watu walikuwa wanatubishiaWilaya ya Ubungo, Kata achana nayo Mkuu
😁😁Hawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule
Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?
Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄
Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
Hali mbaya sana , fikiria Baba mtoto amezaliwa 1990 Mama mtu 1992. Mtoto 2010, yaani hawa bado watoto wote wanalamba sukari hawa 🤣balaaaa kabisa mambo yale yale kwenye nyuzi nyingine kuna watu walikuwa wanatubishia
kabisaHali mbaya sana , fikiria Baba mtoto amezaliwa 1990 Mama mtu 1992. Mtoto 2010, yaani hawa bado watoto wote wanalamba sukari hawa 🤣
Wallah naapa, siwezi kuleta chai kwenye mijadala kama hii, ambayo hata Waziri wa Ustawi anaweza akaiona😁😁
Hii ni chai. Ingawa ni ya maziwa nitainywa tu mkuu😁😁
Mkuu miaka 36 ana utoto Gani huyo dingi na mama mtu miaka 34 lishangazi la kwenda kabisaHali mbaya sana , fikiria Baba mtoto amezaliwa 1990 Mama mtu 1992. Mtoto 2010, yaani hawa bado watoto wote wanalamba sukari hawa 🤣
Nyie wanawake ndiyo wahuni kabsaa mnaoa vijana wadogoWazazi wa kileo wamechanganyikiwa wanakula hata wa kuwazaa kabisa
Ni laana sanaSema hivi vitoto vya sikuhizi vimezidi asee sijui ndo mitandao
Kuna mmoja mtoto wa rafiki yangu anasoma shule xxxx mzee aliitwa shuleni amchukue mwanae baada ya kupigana na mwalimu hawa ajira mpya kisa anatembea na mme wake na kabinti kanajisifu kanatoa mpaka line 2 🤔🤔🤔
Sema ukweli tuu ulikiachia namba ya simuHawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule
Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?
Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄
Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
ChaiHawa watoto wa 2010 kweli wana balaa, jana nilienda shule fulani kufuatilia uhamisho wa mtoto wa ndugu yangu alikuwa anahama ile shule
Nilipokuwa natoka ofisini kwa Headmistress, kibinti kikanisalimia huku kinacheka cheka "Shikamoo " nikaitikiq marahaba vipi mambo ?
Kikaniambia Powaa " Uncle yule pale rafiki yangu amekupenda kweli halafu una ndevu nzuri yeye ni Mpemba kweli kugeuka nikakiona kile kibinti kimevaa hijab kinacheka huku kinang'ata kuche 😄
Doooh nilitikisika na tabasamu feki nikaondoka
Halafu vile vitoto vinaongea vile na Waalimu wao hata umbali wa mita 10 ulikuwa haufiki 🤔Sema ukweli tuu ulikiachia namba ya simu
Tulikuona vzr kabsaa
Kimbilia super loaf kwa Mangi unywee usije ukaunguaChai