Mliwasema sana watoto wa 2000 sasa hawa wa 2010 ndio mtalonga sio kusema tena

Mliwasema sana watoto wa 2000 sasa hawa wa 2010 ndio mtalonga sio kusema tena

Hawa wakikee wanawaambia mama zao tumemaliza 4m4 tumerudi mtaan kmmk ..
"LINDENI WANAUME ZENU"
Oya Mkuu limepigwa jiwe gizani...kuna mtu kaniangalia vibaya wakati ananionyesha hiyo video ya madogo..halafu unasikia ndio mambo yenu hayo eee si ndio.😛😛😛😛😛😛
 
Ili iweje nidanganye we mlamba makombo ? 🤣 halafu Mimi sio Mzee kabisa hiyo 40 yenyewe sijafika unaniitaje Mzee ? Yaani nyie walamba makombo ndio waongo waongo 😏
Niliitwa mzee nilipokuwa na miaka 28, we unaukataa ukiwa 38+?!!! Maajabu
 
🤣🤣🤣
Watumishi wa Lumumba hata siku moja, ukweli hauwezi mkaukubali , lama vipi siku ya ijumaa nikupeleke mpaka ile shule ukashuhudie
Vipi kuhusu nyie nyumbu wa lissu?!!
Siihitaji shule, nahitaji ukweli wa tukio ulilolisema
 
Vipi kuhusu nyie nyumbu wa lissu?!!
Siihitaji shule, nahitaji ukweli wa tukio ulilolisema
Tukio ni kweli Ndugu Mla makombo, siwezi kutunga uongo ambao hauna faida yoyote.

Mimi sio Nyumbu wa Lissu lakini kile anachokisimamia Lissu ndio matamanio ya wengi maana UJINGA tunaotendewa na hawa Watumishi wa hii serikali iliyoingia madarakani kwa kura 31 milioni haufai 😏
 
Mimi pia sifanyo kazi ccm, ila huniambii kitu kuhusu Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, sababu anafanyiwa fitina kuu na hawa TEC na catholic kwa ujumla.
 
Jinsi muda unavyozidi kwenda ndivyo vituko vipya vinaundwa

Leo sasa watoto wa 2010 baada ya kuwa kontena limetembea sana meli baharini hatimae kontena limefika na vifaa vyake vipo mitaani.
IMG-20261027-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom