zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
kosa liko wap walikuwa ndani ya muda, watu wanafanya usajili bado sekunde dirisha kufungwa na inakubalikaNext time wayapeleke a week before..., System zetu tunazijua sisi; ukizingatia huenda TFF hawaruhusiwi kufanya haya mambo manually.....
Kwahio iwe funzo la kutokufanya vitu last minute...., Inaweza kutokea kwa watu watatu au wanne lakini sio timu nzima
ila kwetu unaweka deadline na mtu anakuwa ndani ya muda ila analaumiwa ajabu sana hii