Mliwasikia Kitayosce walivyosema?

Mliwasikia Kitayosce walivyosema?

Next time wayapeleke a week before..., System zetu tunazijua sisi; ukizingatia huenda TFF hawaruhusiwi kufanya haya mambo manually.....

Kwahio iwe funzo la kutokufanya vitu last minute...., Inaweza kutokea kwa watu watatu au wanne lakini sio timu nzima
Hiyo hela waliokua wanaiskilizia mahali flani hiv so jiongeze
 
Na deadline ilikuwa haijafika na haijafika mpaka leo maana deadline ni agosti31, hapa hoka sio tff, hao kitayose kwann wasipeleke majina mapema, kwahyo mpaka walianza safar na kufika dar kwa ajili ya mechi huku kwenye mfumo wakiwa hawana mchezaji hata mmoja, hiyo ni akili?
mapema kwako ni ipi
kama alipeleka majina ndani ya muda maana yake aliwahi

wewe hii kuchelewa unaipata vipi ikiwa mtu yuko ndani ya muda na ajavuka muda alio pewa

nini maana ya kuwa na muda wa kikomo
 
Kama alikuwa ndani ya muda na hajachelewa imekuwaje siku ya mechi kuanza ana wachezaji pungufu ?!!!

Kwahio hakuna ndani ya muda (yaani ndani ya muda wa kuweza kuanza kucheza na wachezaji wa kutosha) Timu zote hata huko nje kuna wakati usajili unapita last minute ila sio usajili wa timu nzima..., Kuna Kipindi Real Madrid walimkosa De Gea kwa Sababu Man United walisema Fax zao zilikuwa na matatizo kutuma documents (Hence shit Happens) na kama Timu inabidi msifanye vitu last minute especially kama ni namba kubwa kiasi hiki
 
unabisha ujasoma, kasome upya sababu ya kucheza watu 8 je ni alipeleka majina nje ya muda ama hapana
 
Si umeambiwa majina yanahitaji kupita kwenye mfumo ambao ulikuwa down ? Au hio sio sababu..., Kuna vitu ambavyo siku hizi kwa kuhakikisha authenticity inabidi viingie kwenye mfumo hata watu wanao-file case online ni ule muda unao-file online ndio muda unaoonekana sio muda ambao unampa Karani afanye..., Mbona mambo yapo wazi ?

Kwahio kama huwa kuna shida za mfumo ni bora kujipa muda zaidi kama wangekuwa wamepeleka wengine wiki kabla huenda wasingebakia na wachache kiasi hicho.....
 
Waache upumbavu, kwa nin walichelewa hadi wasubirie siku ya mwisho.
 
Si umeambiwa majina yanahitaji kupita kwenye mfumo ambao ulikuwa down ? Au hio sio sababu..., Kuna vitu ambavyo siku hizi kwa kuhakikisha authenticity inabidi viingie kwenye mfumo hata watu wanao-file case online ni ule muda unao-file online ndio muda unaoonekana sio muda ambao unampa Karani afanye..., Mbona mambo yapo wazi ?

Kwahio kama huwa kuna shida za mfumo ni bora kujipa muda zaidi kama wangekuwa wamepeleka wengine wiki kabla huenda wasingebakia na wachache kiasi hicho.....
nenda kasome hoja yako ya kwanza ilikua unalaumu kitayosce kuchelewa mimi nimekujibu hawakuchelewa na hawana kosa maana.wao walikuwa ndani ya muda

kosa ni system sio kitayosce
 
Aisee sasa kama waliwahi kwanini walicheza na wachezaji pungufu ?; Ni kwamba walichelewa kupeleka wachezaji majority kwa kuwapeleka siku ambapo mechi zinaanza kucheza Hilo ni kosa sababu hawana back-up; lakini wangekuwa wamepeleka wa kutosha wakabaki na wengine wachache bado wana-negotiate deals hata wakiwapeleka kesho kutwa haitawa-cost sababu wana wengine wa kucheza....
 
maswal yako bhana
waliwah sema siku iyo mfumo ulizingua wakafanikiwa sajili wachezaj 8 tu kumbuka walikuwa hawajasajiri hata mmoja kama wangechelewa bas hata hao 8 wasinge kuwepo kwenye mfumo

shida ni mfumo sio wao
 
Back
Top Bottom