Mliwasikia Kitayosce walivyosema?

kosa liko wap walikuwa ndani ya muda, watu wanafanya usajili bado sekunde dirisha kufungwa na inakubalika

ila kwetu unaweka deadline na mtu anakuwa ndani ya muda ila analaumiwa ajabu sana hii
 
kosa liko wap walikuwa ndani ya muda, watu wanafanya usajili bado sekunde dirisha kufungwa na inakubalika

ila kwetu unaweka deadline na mtu anakuwa ndani ya muda ila analaumiwa ajabu sana hii
Usajili wa Timu nzima bado sekunde ?, Wakifanya ukipita ni faida yao ila usipopita ndio hivyo mpaka upite... kwahio lazima uwe na back-up plan angalia hio extract ya true case study.....

Shit happens kwahio sababu unajua hayo lazima uhakikishe hata kama ni wachache wanapita sekunde ya mwisho au kwa bahati mbaya hawapiti au wengine wanapita baada ya ligi kuanza, hivyo hakikisha atleast kama timu nzima ni mpya unafanya hivyo kabla ya wakati....
 
ila kwetu unaweka deadline na mtu anakuwa ndani ya muda ila analaumiwa ajabu sana hii
Yap!... Inashangaza sana ila ndio tulivyojizoeza kuwa 'linalowezekana leo lisingoje kesho'......hatupo makini kabisa.
 
Kama system ilisumbua, hao watoa verification ndio hao hao tiefu efu, kwanini wasingewapa vibali vya dharura.

Ni uhuni tu
 
Kitayose ilipanda daraja kwa figisu, hivyo naona Kuna namna ya watu kukomoana na lengo lishatimia baada ya kitayose kuuza points tatu bila kupenda.
Kitayose wanajikomoa wenyewe, wangemlipa jamaa siku zote yangewakuta haya?
 
Kama system ilisumbua, hao watoa verification ndio hao hao tiefu efu, kwanini wasingewapa vibali vya dharura.

Ni uhuni tu
Inategemea huenda vibali inabidi viwe verified online at that particular time (kusema unatoa vibali vya dharura offline) inaweza kuleta loophole kesho au keshokutwa kwamba tuliwapa kibali cha dharura kumbe umekifanya offline
 
Kwani wewe unachangia masa gani?

Ina maana hujaona tatizo kwa uongozi wa kitayose kufanya malipo masaa machache kabla ya mechi ila ukaona tatizo kwa tff kushindwa ku-upload majina kutokana na mtandao?

Umefikiria kwann wao walipe masaa machache kabla ya mechi?

Katika shughul yako za kawaida ushawah kukutana na challenge za kufanya jambo kqa deadline, na ulimlaumu nani?
 
kosa liko wap walikuwa ndani ya muda, watu wanafanya usajili bado sekunde dirisha kufungwa na inakubalika

ila kwetu unaweka deadline na mtu anakuwa ndani ya muda ila analaumiwa ajabu sana hii
Na deadline ilikuwa haijafika na haijafika mpaka leo maana deadline ni agosti31, hapa hoka sio tff, hao kitayose kwann wasipeleke majina mapema, kwahyo mpaka walianza safar na kufika dar kwa ajili ya mechi huku kwenye mfumo wakiwa hawana mchezaji hata mmoja, hiyo ni akili?
 
Kwa maana iyo walitaka kuwaingiza kwenye system mpk cku y mwisho kabisa.
 
Tunaongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na njaa kali kuliko , kama hapo media zikusema ukweli udhaifu wa tff wanafungiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…