Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

Asili ya uzuri wote duniani ni Africa tu ndo mana ukiona walatino wanaume lazima tunachanganyikiwa au whites achanganye na black zao lake hataree
 
Soma weee soma kitabu Soma weee. Binadamu joto ni 37 wote duniani ikipungua au kuzidi ni mgonjwaj
 
Nimekaa nao India sijawahi wapenda na hawakuwahi nipenda
 
Kwanza nilikuuliza makalio yana faida gani ukasema fahari ya macho nikakuuliza sababu ndo hiyo tu ukasema nafsi inafurahika

Kwani mimi nilipokuuliza hayo maswali wewe ulielewa nini hebu tuanzie hapo kwanza
 
Kwanza nilikuuliza makalio yana faida gani ukasema fahari ya macho nikakuuliza sababu ndo hiyo tu ukasema nafsi inafurahika

Kwani mimi nilipokuuliza hayo maswali wewe ulielewa nini hebu tuanzie hapo kwanza

Sisi huwa tunasema hivi "Kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni tatizo au ni kuzua tatizo".

Nikisema hunielewi au unapoteza kumbukumbu ujue sikudhulumu,swali ulilo liuliza sasa hivi muda wake umepita yaani ulitakiwa uulize huko mwanzo kabisa na ungeanza hivi "Hivi unaelewa nini ...."

Inabidi kufundishe namna ya kusoma hoja na kuzielewa,nilikupa ufafanuzi juu ya kufurahika,nikasema kufurahika hufata baada ya kutanguliwa na kuona au mfabo wake,yaani kufurahika na kuona havitengani,kufurahika ni mtaokeo ya kuona kile unacho kipenda. Sasa unapojaribu kuvitenganisha vitu ambavyo ni muhali unakuwa unatumia vibaya akili.

Ndio maana nikakusihi urejee nilicho kiandika na ukielewe. Nafsi kufurahika sikuitaja kuwa ndio sababu bali nilikupa ufafanuzi baada ya wewe kutoelewa nilicho kiandika. Fahari ya macho ni macho kufutiwa sanjari na kujivunia akionacho na huambatana na furaha.

Sasa unapo taka tuanzie hapo tena unakuwa unalazimisha jambo ambalo halina haja ya kukianzisha tena sababu liko wazi na unachotakiwa wewe ni kutuliza akili tu ili ulielewe.
 
Well said kaka
 
Wana wivu sana,wachafu. Baada ya shughuli hata hawajifuti. Jihadhari,ndugu zake wakijua umekula papuchi,wasiojulikana watakushughulikia.
Mh broo kwenye uchafu hapo hao wahindi wa kusini nini ???!!!
Maana navyowajua mm huwa wanapenda kushine aisee had kope wanasugua na brush.
Ila wana kiharufu cha asili kinakera kinyamma.
 
Hivi chura huwa inasaidia nini?
From my Personal Expirience Ina leta munkari sio kidogo usione wengine wanawai kurudi kwenye Game after each round iyo ni moja wapo ya pushing factor...then ni moja ya ishara kuwa niko na "Toto"
 
From my Personal Expirience Ina leta munkari sio kidogo usione wengine wanawai kurudi kwenye Game after each round iyo ni moja wapo ya pushing factor...then ni moja ya ishara kuwa niko na "Toto"
Bro pulling factor aisse yan sio ndogo ni kubwa.
Usipime huku unaupiga piga ule msambwandaa unaweza jihisi umepanda farasi
 
We lazima ni muarabu[emoji87]
Mmh bro mm ni benadir.
Lakn hao watu nimeishi nao kwasababu ukoo wetu umechanganyika nao.
Nina ndugu yangu mnyamwez kaoa kwa msahafu tu tena mwarabu wa Yemen mzuri ukimwangalia tu unadinda kaka hawanaga hiyana wale.
 
Mkuu labda ulikaa mkoa mmoja ukatulia.
Ila bro unapozungumzia asili ya kihindi hakuna watu wazury km wale isipokuwa umaskini unawazonga kiukweli.
Embu siku katembee pale Shaban Robert pita shule ya Yemen uwakute bro.
Ni wazury kiukweli ila wakiwa kwao umaskin mwingi huwafanya washindwe kuwa vzury.
Lakn ukienda tena India brooo nakuomba ukafanye tafiti maeneo ya Gujarat,Delhi penyewe,Na south part of India naskiaga hiz sehem zinasifika kwa watoto wazuri.
Kwa mtazamo wangu maana mm nilosoma nao nilikua nawaona malaika wameshushwa mfano huyo wa chini alonichomesha maindi na kunilisha mavi kwa kijiko
 
Nimeishi Mumbai/Bombay, New Delhi na Tamil nardo.

Nawajua in and out. Na jambo la nyongeza kuhusu wahindi, ni washamba kupita maelezo.

Wahindi walokuwa afadhali kiduchu ni wale walopanda ndege tu yaani waishio nje ya India.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…