LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.

Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.

View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686

Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!

Poor Polisi!
Tungekuwa na wapinzani wanaojitambua CCM tungekuwa tushawasahau
 
Wakuu

Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.

Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.

Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Dah💔💔💔
 
Hizi gharama tunazoingia kama taifa kwenye haya maigizo ya Demokrasia kwakweli yanaligharimu sana taifa.., sio financially pekee bali rasilimali muda na resources nyinginezo bila kusahau personal wellbeing...

Wakuu

Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.

Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.

Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Ningekuwa Rais wa hii nchi halafu litokee janga kama la Kariakoo .
Jengo moja tu mpaka sasa kifusi lingekuwa kipo kule Jangwani na eno lingebaki safi kabisa. Waganga wote na miili ingekuwa imeshatolewa.

Simple tu natangazia vijana wa Mtaani kununua kila tofali na kipande cha NONDO kitakachotokea kwenyeJengo lililoanguka Tofali moja sh. elfu tano ,debe la kifusi elfu tatu.

Siku tatu tu pangekuwa pametakata.
 
Mbona watu wenyewe waliohudhuria wako 25 tu si angewaacha aongee nao
 
Wakuu

Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.

Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.

Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Maelekezo kutoka juu kuwathibiti wanaoona wanaweza kuwanyang'anya tonge mdomoni.
 
Wakuu

Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.

Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.

Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Chadema mnapenda kufanya kosa kwa makusudi ili mpate huruma ya wananchi .
Kweli chama kikongwe mpk leo hakijui taratibu za mkutano au ni kusudi ?
Simameni kwenye ukweli acheni siasa za kijinga
 
Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.

Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.

View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686

Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!

Poor Polisi!
Mwisho wa ccm kwa juhudi, hizi hizi au. 4R zimeishia wapi ?
 
Wakuu

Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.

Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.

Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Act ni kima
 
Back
Top Bottom