Tungekuwa na wapinzani wanaojitambua CCM tungekuwa tushawasahauBaada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.
Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.
View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686
Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!
Poor Polisi!
Dah💔💔💔Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.
Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Ccm gani ya hapa bongo au ya drc. Hivi unaijua ccm weweTungekuwa na wapinzani wanaojitambua CCM tungekuwa tushawasahau
Ni ujinga tu mkuu. Chadema wanapenda siasa za attention za media. Muda wote waonekane wameonewaRatiba ipo kwa nini isifuatwe,??
Magufuli aliyelaaniwa kwa ushenzi wake hawezi kumlaani tu yeye yuko motoni sasa hiviLaana ya Magufuli inatafuna
Magufuli?!😮 Wahi Milembe.Laana ya Magufuli inatafuna
D 2!Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.
Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.
View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686
Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!
Poor Polisi!
TII SHERIA BILA SHURUTI! ZAIDI YA HAPO NI KIPIGO TU!!Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.
Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.
View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686
Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!
Poor Polisi!
Ningekuwa Rais wa hii nchi halafu litokee janga kama la Kariakoo .Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.
Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Maelekezo kutoka juu kuwathibiti wanaoona wanaweza kuwanyang'anya tonge mdomoni.Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.
Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Chadema mnapenda kufanya kosa kwa makusudi ili mpate huruma ya wananchi .Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.
Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.
Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.
View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686
Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!
Poor Polsema kumbe wanajuana wangewaacha tu
Mwisho wa ccm kwa juhudi, hizi hizi au. 4R zimeishia wapi ?Baada ya siku 2 tu za kampeni, tayari watawala washapata Picha kamili kwamba Mwisho wa CCM UMEFIKA RASMI, Sasa wameamua kuingiza Polisi na mitutu mitaani.
Tulishaonya Tangu mapema humu kwamba CCM haipo, imebaki polisi na watekaji tu.
View attachment 3158684View attachment 3158685View attachment 3158686
Nguvu za kuokoa Wahanga wa ghorofa la Kariakoo hakuna, ila ya kuumiza Raia imejaa!
Poor Polisi!
Act ni kimaWakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti.
Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa leo Novemba 22, 2024.
Viongozi wa Chadema wakazungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na kukubaliana kuwa muda wa asubuhi mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe azungumze na wananchi wa Mlowo.
Yani mbowe aachie chama kisa wewe shoga umesema.Mbowe achia chamq watu wamekuchoka. Angaliq alama zq nyakati. Mwachie Lisu
Mama anapima maji kwa mti, amuulize Jiwe, Sijui kwanini watu hawajifunzi tuMwisho wa ccm kwa juhudi, hizi hizi au. 4R zimeishia wapi ?