Alaf mahali pa kufanya ibada ukaifanyie chini ya mti sioToa zaka na sadaka tu ! Michango mingine yoyoyte ile usitoe, simple !!!!!
Ni balaa.ila kama unayotoa.Mtoa mada chukua tano yaani michango inakera utasikia hela ya choo, zaka, vipaji, mara ooh askofu antaka suti na viatu mara hela ya ujenzi wa kanisa mara familia kwenye kila jumuia italeta bahasha ya posho ya mchungaji mara eeeeh eeeh duh
Hatuna Sababu ya kutotoa,Maana wakati ni. Mchache wa kuishi hapa Duniani,vitu vyote ni vya Mungu, tutaviacha,Wacha tuvupunguze ili ndugu wakute vichache tukifa!Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
Kama moyo umegoma usitoe,toa kwa moyo!Ujinga wenu tu waumini wa kisasa. Mnarundikiwa mamichango haya na mnatoa ili kuwa washarika wazuri eti siku mkifa mje mzikwe vizuri kiimani. Kwani hata ukizikwa na halmashauri ya jiji au ukatupwa porini ukaliwa na wanyama huko kuendeleza food chain wewe marehemu inakusaidia au kukuathiri kivipi? Kama uko sawa na Mungu wako mbinguni si utaenda tu. Kuna mtu atakosa kwenda mbinguni kisa eti hakutoa mchango wa jengo la kanisa au hakuzikwa kikristo? Shwaini! 🚮
Mkuu Anastasia21 kanisa gani hilo lenye umri kama wa kwako?Nakumbuka Kuna kanisa tangu nimezaliwa Tena mom kaniambia Tena before wapo wanatoa michango ya kujenga kanisa saiv na ukubwa wangu huu Bado lipo vile vile 🙌🏾🙌🏾💔
Hutaki kuchangia ujenzi wa nyumba ya BWANA??Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
Ni kweli kabisa halafu utakuta viongozi wa siasa nao wapo na Kuna siku watu wa BIMA nao wakapanda kutoa Mada imagine hiyo ni KANISA KATOLIKIToa sadaka zote toa na fungu la kumi basi.
Siku hizi matangazo ya michango kanisani mengi kuliko ibada.
Unasemaaa???Idumu Mizimu.
🖤🖤🖤🖤🖤🖤
Silimu,uondokane na kero hiyo.Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
Pumbavu toeni mchango ng'ombe nyie! Mkienda kwa Mwamposa mnauziwa maji ya uhai shilingi 4000 nusu lita. Mafuta ya alizeti mnauziwa elfu 23!Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
WAMEWEKA M-KANISA KOPA SADAKA ,SONGESHA-KANISA SADAKA,MGODI KANISA SADAKA,FUNGU LAKUMI MILIKI SIMU HAPANA SIO SIMU MILIKI FUNGU LA KUMI UTAKATWA KIDOKIDOGO MITANDAONI UTAKOPA SADAKA ALAFU UTALIPA BAADAEWakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
Ufufuo na uzima sadaka ni moja TU.Toa sadaka zote toa na fungu la kumi basi.
Siku hizi matangazo ya michango kanisani mengi kuliko ibada.
Wewe ni chizi . ComWAMEWEKA M-KANISA KOPA SADAKA ,SONGESHA-KANISA SADAKA,MGODI KANISA SADAKA,FUNGU LAKUMI MILIKI SIMU HAPANA SIO SIMU MILIKI FUNGU LA KUMI UTAKATWA KIDOKIDOGO MITANDAONI UTAKOPA SADAKA ALAFU UTALIPA BAADAE
Pole sana madam, mi church naenda kama sehemu tu ya socialisation natoa sadaka tuJaman na usipotoa michango unatengwa na kanisa ata msiban kwako hawaji ukipata shida so imekua kama ni lazima michango itolewe so jau kweli aya makanisa yetu💔🙌🏾
Dada anastazia Michel pm kuhusu Kazi ya caregiver /takerJaman na usipotoa michango unatengwa na kanisa ata msiban kwako hawaji ukipata shida so imekua kama ni lazima michango itolewe so jau kweli aya makanisa yetu💔🙌🏾