Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

Inawezekana washirika ni maskini wanachanga elfu elfu zinaishia kwenye gharama za uendeshaji wa maisha ya mchungaji, nabii au

Mara bashasha ya papa, bashasha ya pasaka na krismas....Sasa papa tunamchangiaje huku!?!? Hovyo sana!

Halafu maparoko wana misuse sana hizo pesa, sema nini baadhi ya majimbo kuna utaratibu wa kufanyiwa auditing siku hizi...!

Kuna siku nilisali kkkt nikakutana na bashasha za sadaka nane. Mpk ya mfuko wa elimu

Kuna lile kanisa la chanzo Halisi....yule ndio amepanga macontena yake mbele watu wanapishana TU na bashasha kutumbukiza humo sijui hapo kumi na ngapi!

Ni ubatili balaa....

Kanisa linajenga ukumbi kwa michango ya waumini, ila nikienda kutaka fanya sherehe hapo lazima nilipe no discount!

Ubatili!
Nimecheka sana🤣😂 yan michango imekua kero halafu unajiuliza nin kimebadilika? Mana zaman hakukua na utitir huu,tulienda na iman thabiti kuwa sadaka zetu zinaenda kwa MUUMBA.
kanisa katolik kwa mfano lina vitega uchumi wa kutisha lakn ni michango kila siku..pale msimbaz center kuna canteen, kuna kumbi zaid ya 4,wana guest house mpaka za VIP,wana shule wanakodisha fremu zaid ya 30,ukienda mbagala mission kuna kumbi,migahawa,guest house..kwanin bado wanategemea sadaka na wana vyanzo mbali mbali vinavyoingiza ma bilion kwa siku? Hizo Pesa zinakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom