StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kama ndio hivyo basi hakuna tofauti. Abaki tu huko huko kanisani "kwao"Si bure,lkn haulazimiki kuhiji kama hauna uwezo na thawabu utazipata pale uliko.
Kama ndio hivyo basi hakuna tofauti. Abaki tu huko huko kanisani "kwao"Si bure,lkn haulazimiki kuhiji kama hauna uwezo na thawabu utazipata pale uliko.
Bora hata Kanisani unaweza kwenda mara moja kwa mwezi sio mbayaTena kwa mizimu aseeh ukute familia yenu ilikuwa na makando kando utachinja mbuzi mpaka uone hapa Kuna kusaliti amri au uokoke
Inategemea kama unapoona mambo magumu unatoa sadaka na maombi kwenye matambiko ipo hivyo hivyo mambo hayaendi unaenda kwa wazee na vitu watakavyovitakaunatambika mara ngapi kwa mwaka?
Ujinga uliotukukaKumbe kuna watu wanaendaga kukopa kwenye kausha damu ili watoe michango kanisani
Kweli kbs mkuuNa bahati mbaya viongozi wa makanisa kazi yao ni kuhimiza na kukusanya sadaka na michango kwa waumini wao ila kusimama na wananchi kudai na kutetea haki hatuwaonekani. Wananchi wanatekwa, wanauliwa, kura zinaibwa, chaguzi zinachezewa, nchi inauzwa wao wako kimya na zaidi zaidi utasikia wakisifu watawala
Bila kutoa sadaka hutoboi chief .Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
Unasali kanisa la Manabii ndio mambo yao,utakamuliwa mpk ukomeWakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika.
Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
daah hapa umenikumbusha yale mambo yalotaka kufanywa na timu moja kubwa ya futbol apa nchini kabla ya ile mechi namba 184 ya tarehe 8 pale kwa mkapa😂unapoona mambo magumu unatoa sadaka na maombi kwenye matambiko
At least misikiti Ina afadhali kidogoKanisa na msikiti ni vyombo vya kudhurumu na kunyanyasa imani za waja na kondoo wa bwana, hivo yani!
MsikitiniKama ndio hivyo basi hakuna tofauti. Abaki tu huko huko kanisani "kwao"
Kuna ile michango ya familia unakuta labda inahitajika laki 1 hasa hasa kukiwa na ujenzi na mtu hana huwezo wa kuipata hvyo inabid akakopeUjinga uliotukuka
Ni mwaka wa 4 huu sijakanyaga nyumba ya ibada.
Hakuna tofautiMsikitini
Hatari sana Madhara ya matambiko wakati wa kujitoa ndio Mziki unakuwa hapo bora dini ukiamua hauendi kanisa na hakuna wakukuhoji sana..daah hapa umenikumbusha yale mambo yalotaka kufanywa na timu moja kubwa ya futbol apa nchini kabla ya ile mechi namba 184 ya tarehe 8 pale kwa mkapa😂
Watu wanajua mizimu ni rahisi aseeh na ukienda against inakumalizaBora hata Kanisani unaweza kwenda mara moja kwa mwezi sio mbaya
Bora ya huko hata utajiri unapatikanaKwani kwenye mizimu huko hakuna sadka?