Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

Hatuna Sababu ya kutotoa,Maana wakati ni. Mchache wa kuishi hapa Duniani,vitu vyote ni vya Mungu, tutaviacha,Wacha tuvupunguze ili ndugu wakute vichache tukifa!
 
Kama moyo umegoma usitoe,toa kwa moyo!
 
Hutaki kuchangia ujenzi wa nyumba ya BWANA??
 
Silimu,uondokane na kero hiyo.
 
Pumbavu toeni mchango ng'ombe nyie! Mkienda kwa Mwamposa mnauziwa maji ya uhai shilingi 4000 nusu lita. Mafuta ya alizeti mnauziwa elfu 23!
 
WAMEWEKA M-KANISA KOPA SADAKA ,SONGESHA-KANISA SADAKA,MGODI KANISA SADAKA,FUNGU LAKUMI MILIKI SIMU HAPANA SIO SIMU MILIKI FUNGU LA KUMI UTAKATWA KIDOKIDOGO MITANDAONI UTAKOPA SADAKA ALAFU UTALIPA BAADAE
 
Jaman na usipotoa michango unatengwa na kanisa ata msiban kwako hawaji ukipata shida so imekua kama ni lazima michango itolewe so jau kweli aya makanisa yetu💔🙌🏾
Dada anastazia Michel pm kuhusu Kazi ya caregiver /taker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…