Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
“Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote”
Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo asubuhi wakidai wanapoenda baada ya eneo walilokuwa wanafanyiwa biashara kupewa DART kujengea karakana.
Mmachinga akiwapa maua polisi kutuliza ghasia bila kutumia nguvu
Waandamanaji wakiosha gari la Polisi, Simu 2000