Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

Kweli mtatawaliwa sana
Umeme ukiwaka mnashangilia huku mnalipa
Na leo mnachekelea na kufurahia hamjapigwa daa
Masikini Africa
 
We unataman yatokee ili mtuibie ...tafuta kazi punguza kubet kua na mpenzi mmoja
Ukizingatia hayo utaishi bila makasiriko
Wewe mwenyewe hapo akili zako zimeshaibiwa tangu ulipozaliwa tu.

Hakuna kilichobakia tena.
 
Back
Top Bottom