Mmachinga: Polisi leo hawajatupiga pamoja na watu kufanya maandamano

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
“Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu yeyote”

Victor Jushua, Mfanyabiashara Simu 2000 akiongea baada ya sakata la wamachinga kugoma leo asubuhi wakidai wanapoenda baada ya eneo walilokuwa wanafanyiwa biashara kupewa DART kujengea karakana.

Your browser is not able to display this video.

Mmachinga akiwapa maua polisi kutuliza ghasia bila kutumia nguvu

Your browser is not able to display this video.

Waandamanaji wakiosha gari la Polisi, Simu 2000​
 
Ila Watanzania tumezidi mno uungwana. Kwahiyo jamaa anashukuru kutopigwa kama vile kafanyiwa msaada.

Kwa uungwana huu kina Chura watatutia vidole mpaka maskioni na sisi tuombe msamaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mwili unawasha?
 
Kweli nimeamini CCM wana mbinu nyingi za kuendelea kutawala. Hii ya kuwa wapole kwa siku ya leo ni mbinu mojawapo.

Hapo ni ujanja tu ndio umetumika ili kuzuia fujo zisiwe kubwa sana na kuzua taharuki ukizingatia kwa majirani hapajatulia, hivyo Polisi wasingekuwa makini na kuwa wapole wangesababisha fujo kubwa na kuzua taharuki na ndio unakuwa hata mwanzo wa maandamano nchi nzima mana vijana wamevurugwa kwa sasa.

Hata maandamano ya nchi za Kiarabu yalikuwa yanaenda kwa kuambukizana.
 
na ndo slagan ipo hvo apo wataona dar wameandamana inawezekana na ss tuandamane
 
Habari chungu xnaa hii kwa chama cha fujo
 
Chura kiziwi huko aliko anatamani yale ya kwa jirani yasitokee hapa.
 
Chura kiziwi huko aliko anatamani yale ya kwa jirani yasitokee hapa.
We unataman yatokee ili mtuibie ...tafuta kazi punguza kubet kua na mpenzi mmoja
Ukizingatia hayo utaishi bila makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…