Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jul 9, 2024 #21 Kweli mtatawaliwa sana Umeme ukiwaka mnashangilia huku mnalipa Na leo mnachekelea na kufurahia hamjapigwa daa Masikini Africa
Kweli mtatawaliwa sana Umeme ukiwaka mnashangilia huku mnalipa Na leo mnachekelea na kufurahia hamjapigwa daa Masikini Africa
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 711 Reaction score 683 Jul 9, 2024 #22 Black Sniper said: Kweli mtatawaliwa sana Umeme ukiwaka mnashangilia huku mnalipa Na leo mnachekelea na kufurahia hamjapigwa daa Masikini Africa Click to expand... kwani ghasia yenyewe ilikuwapo?
Black Sniper said: Kweli mtatawaliwa sana Umeme ukiwaka mnashangilia huku mnalipa Na leo mnachekelea na kufurahia hamjapigwa daa Masikini Africa Click to expand... kwani ghasia yenyewe ilikuwapo?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jul 9, 2024 #23 zous said: We unataman yatokee ili mtuibie ...tafuta kazi punguza kubet kua na mpenzi mmoja Ukizingatia hayo utaishi bila makasiriko Click to expand... Wewe mwenyewe hapo akili zako zimeshaibiwa tangu ulipozaliwa tu. Hakuna kilichobakia tena.
zous said: We unataman yatokee ili mtuibie ...tafuta kazi punguza kubet kua na mpenzi mmoja Ukizingatia hayo utaishi bila makasiriko Click to expand... Wewe mwenyewe hapo akili zako zimeshaibiwa tangu ulipozaliwa tu. Hakuna kilichobakia tena.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 9, 2024 #24 Hawanaga urafiki hao... Cc: Mahondaw
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jul 9, 2024 #25 Mbuli yaza said: kwani ghasia yenyewe ilikuwapo? Click to expand... Hata kama