Ni mwanaume asiye mwangalifu- unachepuka mpaka wa ndani anajua halafu unashindwa kumlinda mchepuko mpaka anabakwa!Hii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Kweli naomba nieleweshe hapaHana kesi, and huyu mama nae hajaolewa na huyo jamaa mume wake alishafariki
Yeye ndio chanzo mkuu
Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeyw ni gogo sawa.
KumbeHana kesi, and huyu mama nae hajaolewa na huyo jamaa mume wake alishafariki
Je kama alitunukiwa tu ? Ni dhambi kukataa mbususu unajua, kama ugenini tu ukifika ukakaribishwa chakula kula hata tonge mbili😊Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Kwani ukitoa geto wewe unahusika vipi- ila unaweza isaidia mamlaka kwa kuwataja uliowazima gheto. Sasa hivi anatafutwa aliyewatuma hao wahuni- ajitokeze au ampeleke afande kwa maafande wenzakemkuu acha masihara, yeye chanzo cha nini? alitoa geto abakwe au? tuache kuleta utata kwenye ishi ambazo zipo wazi kabisa. Mahusiano yake na huyo binti hayana mahusiano kabisa na huo uhalifu wa hao wahuni.
Ana haki ya kupewa privacyHatujasema anakosa ila ni mshiriki na anaweza kutusaidia kutuonyesha mke wake huyo anayeitwa afande
binti hakulazimishwa kugawa lakiniHii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Umeelewa ila unapindisha. Mke katuma vijana sababu binti anatembea na mumewe. Chanzo ni mume kumtongoza binti. Bila hilo kusingekuwa na haya yote. Elewa mada ndiyo utanielewa namimi.Binti anashutumiwa na nani? hakuna shutuma zozote zinazomuhusu huyo Binti kwenye mahakama.
Weka Picha yake hapaHana kesi, and huyu mama nae hajaolewa na huyo jamaa mume wake alishafariki
Picha ya huyo Jamaa anaegombewa na hilo libibiUmeelewa ila unapindisha. Mke katuma vijana sababu binti anatembea na mumewe. Chanzo ni mume kumtongoza binti. Bila hilo kusingekuwa na haya yote. Elewa mada ndiyo utanielewa namimi.
mwenye namba yake jamani. Jamaa anahitaji farajaTena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee.
Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha yake ipo Wapi tumuoneMume hana anapohusika hapo.
Picha yake tunataka tumuone yule Bibi tumemuona sasa tumuone na muhusika Mkuumwenye namba yake jamani. Jamaa anahitaji faraja
Ndiyo nasisi tunataka kumuona huyo jamaa. Mpaka mkewe akatuma vijana wamtese binti wa watu, wakati angeweza kumuonya binti.Picha ya huyo Jamaa anaegombewa na hilo libibi
Tumuone ndio maana libibi lingeweza hata kumuua yule Binti kisa huyo Mwamba sasa tumuone huyo Mwamba ana nini kimuonekano mpaka libibi lifanye hivyo?Ndiyo nasisi tunataka kumuona huyo jamaa. Mpaka mkewe akatuma vijana wamtese binti wa watu, wakati angeweza kumuonya binti.
Kwani binti mwenyewe yuko wapi, me naamini akihojiwa vizuri atasema kila kituBwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?