Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

Hii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Ni mwanaume asiye mwangalifu- unachepuka mpaka wa ndani anajua halafu unashindwa kumlinda mchepuko mpaka anabakwa!
 
Yeye ndio chanzo mkuu

mkuu acha masihara, yeye chanzo cha nini? alitoa geto abakwe au? tuache kuleta utata kwenye ishi ambazo zipo wazi kabisa. Mahusiano yake na huyo binti hayana mahusiano kabisa na huo uhalifu wa hao wahuni.
 
Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeyw ni gogo sawa.

Binti anashutumiwa na nani? hakuna shutuma zozote zinazomuhusu huyo Binti kwenye mahakama.
 
mkuu acha masihara, yeye chanzo cha nini? alitoa geto abakwe au? tuache kuleta utata kwenye ishi ambazo zipo wazi kabisa. Mahusiano yake na huyo binti hayana mahusiano kabisa na huo uhalifu wa hao wahuni.
Kwani ukitoa geto wewe unahusika vipi- ila unaweza isaidia mamlaka kwa kuwataja uliowazima gheto. Sasa hivi anatafutwa aliyewatuma hao wahuni- ajitokeze au ampeleke afande kwa maafande wenzake
 
Binti anashutumiwa na nani? hakuna shutuma zozote zinazomuhusu huyo Binti kwenye mahakama.
Umeelewa ila unapindisha. Mke katuma vijana sababu binti anatembea na mumewe. Chanzo ni mume kumtongoza binti. Bila hilo kusingekuwa na haya yote. Elewa mada ndiyo utanielewa namimi.
 
Back
Top Bottom