Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.nadhan yeye hana kosa kabisa ....
Hana....nadhan yeye hana kosa kabisa ....
Tajiri kwema AssalamualaikumYeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Tena awekwe hadharani huyo baba, waja tumuonee.
Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaha eti mwabukusiMkuu kwa sheria zenu za akina Mwambukusi hana kosa ila kwa sheria zetu za asili na kimila na mbele ya Mungu huyu bwana ana kosa kosa la kijamii
Hii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?Tajiri kwema Assalamualaikum
Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.
Naunga mkono hoja tajiri jamaa na yeye akamatwe hawekwe ndani ndio Chanzo ya yoteHii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?
Yeye ndio chanzo mkuuMume hana anapohusika hapo.
Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeye ni gogo sawa.Mume hana anapohusika hapo.
Naunga mkono hoja Cc ephen_Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeyw ni gogo sawa.
Ni r.i.p.Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?