Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Huyu jamaa aende polis akatoe taarifa ya kuporwa fedha na majambazi wakishirkiana na mdogo wao ambaye ni malaya
 
Miaka 27 karubuniwa🥶

Ifike mahali wazazi, walezi Tuache, hii itikadi mtu unamkuta anasema mtoto wake yuko bado ni mdogo kuolewa kumbe huko Chuo anaishi kinyumba miaka 3 yote

Ndo haya haya 🙌pole sana kwa brother
Huo ulikuwa ni mchongo na ujambazi wa wazi kabisa mbaya zaidi umefanyika mbele ya balozi.
 
Kyai kya rangi.
 
Kimsingi hakuna kesi hapo, alafu nadhani huo mtaa huyo mshua anaokaa wengi ni wale wa ugali kurumangia

Yani mpaka watu wanashindwa kukusupport je mahusiano yapoje yapoje?
Mkuu yeye haishi kwenye mtaa huo yeye alikuwa amemsindikiza demu wake tu huo mtaa ni mtaa anao ishi demu.
 
Mkuu tatizo ni ushahidi maana kwanza mtaa alipo fanyiwa hicho kitu sio mtaa anao ishi alafu wote walio kuwa hapo walikuwa upande wa dada zake na binti.
 
Mtu mzima miaka 27 amerubuniwa?

Ndio changamoto za kudate watu masikini wa kipato na akili. Ukijiingiza kwenye mahusiano na mtu masikini unaishia kujuta tu.
Huo ulikuwa ni mchongo na inaonekana ndo kazi yao maana hata baba yao ana rekodi za kuwa muharifu.
 
Hakuna barabara za mtaa? Ndio ubaya wa kudate na watoto wa uswazi.
Una Milioni 5 kwa gari unaenda kufanya uzinzi na ulevi.
 
hilo ni Tatizo la kuishi eneo lililojaa maskini wengi.

Pili kama wewe unapenda kubadili wanawake, usioe kabisa kwa ndoa.

Ili ubaki na single status muda wote, jamaa angekuwa hajaoa hao makaka wasingeweza kumfanya chochote
Yule mzee aliye fumwa hakuwa mjazi wa mtaa huo yeye alimsindikiza demu wake tu kumbe ulikuwa ni mtego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…