Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Binti wa 27yrs ana rubuniwa vipi? Na hata hiyo sheria au kanuni ndo inasema hivyo?

Huyu binti ni jambazi, anatumia wanaume ktk mission zake, na wasaidizi ni hao kaka zake,

Huyo baba aende kituo cha polisi, apate RB na afungue kesi, anashinda mchana kweupee.
Utapeli wa hivi umeshamiri sana mtaani, watu wawe makini. Lol
Inaonekana hiyo ndo kazi yao na wenda huyo siyo mtu wa kwanza kumtapeli.
 
Kimsingi hakuna kesi hapo, alafu nadhani huo mtaa huyo mshua anaokaa wengi ni wale wa ugali kurumangia

Yani mpaka watu wanashindwa kukusupport je mahusiano yapoje yapoje?
Watu wanakupiga panga utoe Hela halafu hamna kesi serious?
 
Nilikua na dogo tunatembea tukakutana natroop la wanafunzi ma gangster wakiwa na konyagi na pombekali ya pact (viroba)

Wananisalimu huku wanayumba yumba Mimi nilikua kwa mbele..wakanipita kwanyuma alikuwepo dogo wakamsalimia..mdogo angu ni bishoo ni mtu anae jisikia..ALIPO SALIMIWA HAKUITIKA AKAWA KAMA KAWA IGNORE..

Ebwana eeee kugeuka nyuma dogo kawekwa Kati wanamuuliza kwanini hajaitikia salamu yao dogo akajibu KWANI NI LAZIMA KUITIKIA SALAMU YAO?!
GAFLA MDOGO WANGU MBELE YANGU AKARUSHIWA KOKOTO ZIKA MPIGA USONI NA KUANZA KUTOKA DAMU.. NIKAPIGA HESABU ZA HARAKA HARAKA NIKASEMA NIKI REACTS KWA UGOVI WAMETOA VISU , MWINGINE KIWEMBE NA KOKOTO TUTAUMIZWA.

NIKA APPLY DIPROMASIA NIKAWA REFA NIKA TULIZA ZILE GHASIA KIASI ILE TROOPS WAKAONDOKA..DOGO AKIWA KALOWANA DAMU..MOYONI NILIUMIA SANA NIKAWA MARK WALE VIJANA..

NIKAPIGA SIMU HOME KUWAPA TAARIFA PIA NIKAMPIGIA DADA WAKILI AKASEMA TWENDE STRAIGHT POLICE TUCHUKUE RB.

TUKARIPORT ILO SHAMBULIO NA TUMEPOTEZA MALI ZA 1M IKIWA SIMU NA ACCESSORIES PAMOJA NA PESA TASLIMU TUKAPEWA MPELELEZI..

MOJA KWA MOJA SHULE MPAKA KWA MKUU WA SHULE TUKIWA NA AFANDE MPELELEZI...AFANDE AKAMUELEZA AKASEMA AMEKUJA KUTAFUTA WATUHUMIWA..TUKIWA TUNASUBIRI GAFLA NIKAONA WALE WANAFUNZI POLICE AKAKIMBIZA NA TUKA KAMATA MMOJA WAPO..AFANDE AKAMKAGUA MIKONO AKASEMA HUYU NI MVUTA BANGE..
KABLA YA KWENDA KITUONI AKAMUULIZA DOGO WAZAZI WAKE WANAFANYA KAZI WAPI AKAOMBA KWAKUA NI WATUMISHI WA UMMA TUANZE KWENDA NYUMBANI KABLA YA KITUONI AISEEEE..

MTOTO ANAHOJIWA NA MZAZI ILIKUAJE AKASEMA..TULIKUA TUMELEWA AKILI ZINAYUMBA YUMBA NDIO TUKAWAFANYIA FUJO AISEEEE WAZAZI WALISIKITIKA NA WAKASEMA WANAOMBA WALIPE PESA 1M YA UPOTEVU ILA KESI ISIENDE MBELEE..

TUKAKUBALI AKAOMBA WIKI MOJA WALIPE PESA..KWELI BAADA YA WEEK NAPOKEA SIMU TWENDE NYUMBANI KUPEWA PESA..MIMI NIKAKATAA NIKAMPIGIA MPELELEZI TUKUTANE KITUONI TUPEWE PESA YETU..KWELI TUKAKABIDHIWA PESA PALE TUKAMPA AFANDE LAKI MOJA..ILIYO BAKI TUKAGAWANA NA DOGO.

AISEE KUNA MUDA HAKUNA HAJA YA KUTUMIA NGUVU ZAIDI YA AKILI LIPO LA KUJIFUNZA MKUU.
Kabisa mkuu kesi nyingi ukitumia akili, kuna loopholes nyingi sana za kupiga pesa, huko moshi majirani zangu wananifahamu vizuri sana , hasa wanapoanza nongwa huwa ninawabamiza 😁😁😁
 
Huyo jamaa hajavunja sheria yoyote ya hii nnchi kilichofanyika hapo ni armed robbery. Miaka 30 jela, hio million 5 waliochukua itakua ya moto sana
 
Huyo jamaa hajavunja sheria yoyote ya hii nnchi kilichofanyika hapo ni armed robbery. Miaka 30 jela, hio million 5 waliochukua itakua ya moto sana
Hao jamaa ni wahuni tu na inaoneka hili sio tukio la kwanza kaka wenyewe wahuni wahuni tu hawana hata familia pamoja na kuwa ni watu wazima.
 
Hao jamaa ni wahuni tu na inaoneka hili sio tukio la kwanza kaka wenyewe wahuni wahuni tu hawana hata familia pamoja na kuwa ni watu wazima.
Hawajawh kukutana na watu wanaojielewa, ogopa sana kumeltea mtu uhuni wa kizaman hapa mjini unaweza kuozea Hela kimasihara,
 
Hawajawh kukutana na watu wanaojielewa, ogopa sana kumeltea mtu uhuni wa kizaman hapa mjini unaweza kuozea Hela kimasihara,
Yeye amesema atadili na binti sijui anataka kufanya nini ila tumemsii asije akafanya jambo la kijinga likagharimu maisha yake.
 
Back
Top Bottom