Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Malaya masikini na muhuni muhimu kupata data za muhusika na familia ili kuepuka mabalaa
 
Kwanza kabisa jenga ukuta kuzunguka nyumba yako. Unaishi sehemu isiyo salama kabisa.
Pili huyo jamaa akafungue kesi ya wizi wa kutumia silaha. Shahidi utakuwa wewe na mwenyekiti wa kitongoji.
Kwanza kabisa jenga ukuta kuzungika nyumba yako kama unaimiliki wewe kweli maana hapo siyo salama.
Pili, ni vyema uwe una tabia ya kutokuwa na shauku ya kujua mambo ya watu.
Tatu, huyo jamaa afungue kesi ya kuibiwa kwa kutumia silaha, aende polisi apate PF 3.
Mashahidi wake itakuwa mwenyekiti w akitongoji na wewe hapo.
 
Malaya masikini na muhuni muhimu kupata data za muhusika na familia ili kuepuka mabalaa
Mbaya zaidi haya yote yamefanywa mbele ya balozi wa mtaa hakuweza kufanya chochote.
 
Nyumba ina ukuta walikuwa nyuma ya ukuta wangu ila kwenye kiwanja changu.
 
Privacy inasaidia kuruhusu wahuni wakujue 100% ni hatari
 
Binti wa 27yrs ana rubuniwa vipi? Na hata hiyo sheria au kanuni ndo inasema hivyo?

Huyu binti ni jambazi, anatumia wanaume ktk mission zake, na wasaidizi ni hao kaka zake,

Huyo baba aende kituo cha polisi, apate RB na afungue kesi, anashinda mchana kweupee.
Utapeli wa hivi umeshamiri sana mtaani, watu wawe makini. Lol
 
Miaka 47 ni mzee?
 
Hapo mkewe akimuomba hata elf 10 anavyomsimanga sasà huko kamhonga demu na kaka zake, wangemkata na mbupu zake wampe mkononi 🤣
 
Huo ni ujambazi wa kutumia silaha. Balozi kaona na kanyuti.
Kesi kubwa kabisa hapo. Aende polisi jamaa wanyee debe
 
Kesi ya kupiga pesa za bure kabisa mkuu, kuna kesi ya tajiri mmoja alifungulia mbwa wake kizembe nikawaua akaenda shitaki ,nilipiga pesa mpaka alichanganyikiwa.
Nilikua na dogo tunatembea tukakutana natroop la wanafunzi ma gangster wakiwa na konyagi na pombekali ya pact (viroba)

Wananisalimu huku wanayumba yumba Mimi nilikua kwa mbele..wakanipita kwanyuma alikuwepo dogo wakamsalimia..mdogo angu ni bishoo ni mtu anae jisikia..ALIPO SALIMIWA HAKUITIKA AKAWA KAMA KAWA IGNORE..

Ebwana eeee kugeuka nyuma dogo kawekwa Kati wanamuuliza kwanini hajaitikia salamu yao dogo akajibu KWANI NI LAZIMA KUITIKIA SALAMU YAO?!
GAFLA MDOGO WANGU MBELE YANGU AKARUSHIWA KOKOTO ZIKA MPIGA USONI NA KUANZA KUTOKA DAMU.. NIKAPIGA HESABU ZA HARAKA HARAKA NIKASEMA NIKI REACTS KWA UGOVI WAMETOA VISU , MWINGINE KIWEMBE NA KOKOTO TUTAUMIZWA.

NIKA APPLY DIPROMASIA NIKAWA REFA NIKA TULIZA ZILE GHASIA KIASI ILE TROOPS WAKAONDOKA..DOGO AKIWA KALOWANA DAMU..MOYONI NILIUMIA SANA NIKAWA MARK WALE VIJANA..

NIKAPIGA SIMU HOME KUWAPA TAARIFA PIA NIKAMPIGIA DADA WAKILI AKASEMA TWENDE STRAIGHT POLICE TUCHUKUE RB.

TUKARIPORT ILO SHAMBULIO NA TUMEPOTEZA MALI ZA 1M IKIWA SIMU NA ACCESSORIES PAMOJA NA PESA TASLIMU TUKAPEWA MPELELEZI..

MOJA KWA MOJA SHULE MPAKA KWA MKUU WA SHULE TUKIWA NA AFANDE MPELELEZI...AFANDE AKAMUELEZA AKASEMA AMEKUJA KUTAFUTA WATUHUMIWA..TUKIWA TUNASUBIRI GAFLA NIKAONA WALE WANAFUNZI POLICE AKAKIMBIZA NA TUKA KAMATA MMOJA WAPO..AFANDE AKAMKAGUA MIKONO AKASEMA HUYU NI MVUTA BANGE..
KABLA YA KWENDA KITUONI AKAMUULIZA DOGO WAZAZI WAKE WANAFANYA KAZI WAPI AKAOMBA KWAKUA NI WATUMISHI WA UMMA TUANZE KWENDA NYUMBANI KABLA YA KITUONI AISEEEE..

MTOTO ANAHOJIWA NA MZAZI ILIKUAJE AKASEMA..TULIKUA TUMELEWA AKILI ZINAYUMBA YUMBA NDIO TUKAWAFANYIA FUJO AISEEEE WAZAZI WALISIKITIKA NA WAKASEMA WANAOMBA WALIPE PESA 1M YA UPOTEVU ILA KESI ISIENDE MBELEE..

TUKAKUBALI AKAOMBA WIKI MOJA WALIPE PESA..KWELI BAADA YA WEEK NAPOKEA SIMU TWENDE NYUMBANI KUPEWA PESA..MIMI NIKAKATAA NIKAMPIGIA MPELELEZI TUKUTANE KITUONI TUPEWE PESA YETU..KWELI TUKAKABIDHIWA PESA PALE TUKAMPA AFANDE LAKI MOJA..ILIYO BAKI TUKAGAWANA NA DOGO.

AISEE KUNA MUDA HAKUNA HAJA YA KUTUMIA NGUVU ZAIDI YA AKILI LIPO LA KUJIFUNZA MKUU.
 
hilo ni Tatizo la kuishi eneo lililojaa maskini wengi.

Pili kama wewe unapenda kubadili wanawake, usioe kabisa kwa ndoa.

Ili ubaki na single status muda wote, jamaa angekuwa hajaoa hao makaka wasingeweza kumfanya chochote
Unadhani hata ni makaka basi, si ajabu ni wahuni wa kitaa tu. Wameingia tamaa au demu ndo kaingia tamaa kawatafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…