Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Inaonekana hiyo ndo kazi yao na wenda huyo siyo mtu wa kwanza kumtapeli.
 
Kimsingi hakuna kesi hapo, alafu nadhani huo mtaa huyo mshua anaokaa wengi ni wale wa ugali kurumangia

Yani mpaka watu wanashindwa kukusupport je mahusiano yapoje yapoje?
Watu wanakupiga panga utoe Hela halafu hamna kesi serious?
 
Kabisa mkuu kesi nyingi ukitumia akili, kuna loopholes nyingi sana za kupiga pesa, huko moshi majirani zangu wananifahamu vizuri sana , hasa wanapoanza nongwa huwa ninawabamiza 😁😁😁
 
Unadhani hata ni makaka basi, si ajabu ni wahuni wa kitaa tu. Wameingia tamaa au demu ndo kaingia tamaa kawatafuta.
Hapana ni kaka zake kabisa nawajua na tunaishi nao mtaa mmoja na familia yao ina historia ya kimafia, baba yao alisha fungwa kwa kesi ya ujambazi.
 
Huyo jamaa hajavunja sheria yoyote ya hii nnchi kilichofanyika hapo ni armed robbery. Miaka 30 jela, hio million 5 waliochukua itakua ya moto sana
 
Hapana ni kaka zake kabisa nawajua na tunaishi nao mtaa mmoja na familia yao ina historia ya kimafia, baba yao alisha fungwa kwa kesi ya ujambazi.
Hao akili hawana, uhuni waliofanya ni wakizaman waombe jamaa asiende polisi
 
Huyo jamaa hajavunja sheria yoyote ya hii nnchi kilichofanyika hapo ni armed robbery. Miaka 30 jela, hio million 5 waliochukua itakua ya moto sana
Hao jamaa ni wahuni tu na inaoneka hili sio tukio la kwanza kaka wenyewe wahuni wahuni tu hawana hata familia pamoja na kuwa ni watu wazima.
 
Hao jamaa ni wahuni tu na inaoneka hili sio tukio la kwanza kaka wenyewe wahuni wahuni tu hawana hata familia pamoja na kuwa ni watu wazima.
Hawajawh kukutana na watu wanaojielewa, ogopa sana kumeltea mtu uhuni wa kizaman hapa mjini unaweza kuozea Hela kimasihara,
 
Hawajawh kukutana na watu wanaojielewa, ogopa sana kumeltea mtu uhuni wa kizaman hapa mjini unaweza kuozea Hela kimasihara,
Yeye amesema atadili na binti sijui anataka kufanya nini ila tumemsii asije akafanya jambo la kijinga likagharimu maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…