Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Mimi ndio mana mademu wa Uswahili sitaki kabisa na Nikitoka Nae basi Jua Hawezi ata Kujua wapi naenda Kumtafuna na huwa nawapokonya na simu kabisa, Mpaka Mgegedo uishe ndo nampa simu yake
 

Inaonekana huyo Mzee ni bahili sana anakula tu mtoto wa watu, ndo maana wakachoea huo Mchongo!
 
Majambazi wabobevu ila jamaa ameapa kudili na binti mpaka kieleweke sijui anataka kufanya ngoja tuone nitaleta mrejesho.
Namuunga mkono. Binti aadabishwe
 
Kumbe Mvuta bange ukimkagua mikononi unajua kua ni mvutaji?
 
Hapo kavamiwa na majambazi suspect wa kwanza ni huyo binti. Binti kamkodishia majambazi.
 
Mkuu tatizo ni ushahidi maana kwanza mtaa alipo fanyiwa hicho kitu sio mtaa anao ishi alafu wote walio kuwa hapo walikuwa upande wa dada zake na binti.
Haiondoi uzito wa kesi. Sio lazima ufanyiwe uhalifu kwenu. Wala sio lazima watu washuhudie ndio upate haki yako. Wapelelez ni kazi yako kuthibitisha hili
 
Kwa hilo mzee anastahili kabisa! Una mke unachukuliwa na vibinti?
Anyway ni kuchukua tahadhari maana siku hizi kasi ya wazee kutongozwa na kuingizwa kwenye mitego ya mabint/ single moms ni kubwa!
 
Hapana ni kaka zake kabisa nawajua na tunaishi nao mtaa mmoja na familia yao ina historia ya kimafia, baba yao alisha fungwa kwa kesi ya ujambazi.
Nataka uripoti kituoni utoe maelezo zaidi 🥶
 
Kumbe Mvuta bange ukimkagua mikononi unajua kua ni mvutaji?
Yes,
Kwa watu ambao wamewai/ tumewai kufanya kazi za ulinzi na usalama wanaelewa/ tunaelewa.
Mimi Kuna kipindi mpaka Leo huwa nauwezo mkubwa wa kujua mtu yeyote anae tumia kilevi chochote maana kwa miaka mi3 nilikua ndio mwenye off roaster (roaster book) kupanga Malindo.

NB.
Watu wengi wanao vuta Bangi mikono yao huwa Ina weusi weusi Fulani Fulani ambao mtu mwenye uzoefu nao lazima anajua tu akiangalia viganjani mwako.
 
Wajinga pia wanazeeka Mkuu

Maana kaibiwa kizembe Sana
Mkuu,
Ukiingia target ya wahuni be very very kin maana unaweza ukauwawa. Ugopa Sana kikundi Cha majinga wakiji organize.

Yeye aende kuripot police hakika hao wahalifu watashuhurikiwa.
 
Hawajamtendea fair huyo mzee wa watu Jamani!!! Huyo binti ni malaya na yeye na hao kaka zake wote ni waizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…