Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

Haiondoi uzito wa kesi. Sio lazima ufanyiwe uhalifu kwenu. Wala sio lazima watu washuhudie ndio upate haki yako. Wapelelez ni kazi yako kuthibitisha hili
Kwa uzembe wa mapolisi wetu hum.
 
Huo ni utapeli, unyang'anyi na ujambazi na uhuni kama uhuni mwingine. Ugumu wa maisha usikufanye uwatumie wenzio kama ngazi, matokeo yake wakirogwa ama jamaa akaamua kuwafanyizia wataanza kulaumu. Sasa hata ukienda kisheria hapo kuna kosa gani?! Ni sheria gani inayowaruhusu kuchukua pesa kwa nguvu kwa mtu anaetembea na Dada yao wa miaka 27?! Aiseeh watu wamekua na roho ngumu sana sasa hivi
 
Huyo binti ni malaya na kaka zake wanajua hilo na wanamtumia kama kitega uchumi.
Sahihi.

Maneno ya kupotezewa muda yaliyozungumzwa na kaka zake yanadhihirisha kuwa wanajua mdogo wao anatembea na watu tofauti tofauti na wanampotezea muda.
 
Hakuna Cha kesi hapo Tanzania kuna haki?? Hapo ni jino kwa jino tu nawewe unafanya umafia tu unamteka binti alafu unawaita hao ndugu zake unapiga visu vya shingo tu unapita hapo wami unawarushia mamba wamekondeana majini
 
Kesi nyeupe sana hiyo kifupi hakuna kaka wale Keke Hilo ni kundi la wahuni na huyo mwanamke ni part ya Hilo kundi
Uamuzi ni wake awapoteze kisheria au awapoteze kimazingara
 
hilo ni Tatizo la kuishi eneo lililojaa maskini wengi.

Pili kama wewe unapenda kubadili wanawake, usioe kabisa kwa ndoa.

Ili ubaki na single status muda wote, jamaa angekuwa hajaoa hao makaka wasingeweza kumfanya chochote
Naunga mkono hoja
 
Kwaiyo wenzenu tunavyotembeaga na mashine kiunoni mnatuonaga wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…