Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hata nikidondoka leo, waifu atapambania watoto wake tu, kuna wanawake wanapambania watoto wao ili hali baba wa hao watoto wako hai, hao wanawake wanaitwa Singo mamazi, kwahiyo mwanaume akifa maisha yanaenda tu kama mwanamke sio mzembeNina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile? Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa? Kama jibu Ni hapana umejipanga kuchukua Hatua gani.
Nawasilisha , Hakuna ajuaye kesho.
Unamiaka mingapi kwanza??, 🥴🥴🥴Ukikoment ukomwnt kwa adabu
Daàaaa nabakia kimyaaWangu familia ilimshinda akafa
Sasa nimebaki mwenyewe naolewa kwa masaa.
Ulim overdose nini hadi akavuta?Wangu familia ilimshinda akafa
Sasa nimebaki mwenyewe naolewa kwa masaa.
Mdakuzi njoo ujibu hili swali, yule wa kwako ataweza?Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile? Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke wako ataweza kuimudu familia au itaangukia katika umaskini wakutupwa? Kama jibu Ni hapana umejipanga kuchukua Hatua gani.
Nawasilisha , Hakuna ajuaye kesho.
Mkuu umejibu kisiasa sana.Riziki itapatikana tu kwani hutokea na tumeyaona haya
Mwanzo ni mgumu ila huwa wanayakubali na maisha yanaenda
Mke anaweza kuolewa tena na maisha yakasonga
Kwa mwanaume pia ni hivyo anaweza kuoa wa kumlelea watoto na hata akamzalia wengine
Maisha ni fumbo huwezi kujua ya kesho