Mme wako akifa Utaweza kuimudu familia?

Hata nikidondoka leo, waifu atapambania watoto wake tu, kuna wanawake wanapambania watoto wao ili hali baba wa hao watoto wako hai, hao wanawake wanaitwa Singo mamazi, kwahiyo mwanaume akifa maisha yanaenda tu kama mwanamke sio mzembe
Hakika
 
Hapa cc wazee wakataa ndoa ,ngoja tubaki kusoma Maoni ya wake zenuu
Nilikuwa nafikiri kataa ndoa mnaishi na wanawake ila hamtaki ndoa, kumbe mnaishi peke yenu, mhm!

Kwamba mnabadilisha wanawake kila siku au mnapiga master...???
 
Nilikuwa nafikiri kataa ndoa mnaishi na wanawake ila hamtaki ndoa,.kumbe mnaishi peke yenu, mhm!
Kwamba mnabadilisha wanawake kila siku au mnapiga master...???
hao ni wahuni mkuu
 
Sijui naishije bila yeye, ni kila kitu kwangu. Popote ulipo baba Mu nakupenda sana
 
Kwanini iwe mwanaume
 
Nionavyo mara nyingi wanaume ndio hushindwa kuimudu familia kwenye upande wa malezi endapo mke amefariki
Mara mtoto kapelekwa kwa bibi au shangazi au mama wakambo mtoto anaishia kunyanyasika
fulu tafrani
Ila mwanamke atapambana na kulea watoto mwenyewe
 
Hata mwanaume akiwa hai baadhi ya familia mwanamke ndiye mwendesha familia
mwanaume akitoka asubuhi watoto wamelala kurudi usiku
weekend bar
hana muda wa kukaa na watoto nakutambua changamoto zinazoikabili familia
Baadhi ya wanaume umwachie mtoto hata siku 1 utakuta katoto kamepauka kameshindia juice za bakhresa na maandazi huku baba akijinadi amekula na kushiba😪
 
Na hapo ndipo unapokuja umuhimu wa uwekezaji ambao mke anaweza kuumudu.
Kuna miradi ni pasua kichwa kiasi kwamba hata mme hajui ansiendesha vp, Ila inasonga miaka na miaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…