balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
[emoji107]Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu kaiba simu ya mama yakeatakayeelewa mada naomba anihadithie.
Ninyi ndo wa kupimwa mkojo, kumaliziana mb tu hapa hiyo misuto yenu c muishie nayo hukohuko. Unachokiandika hapa unafikiri cc sote tunakijua? Jf is s public plattform so andika kitu ambacho kitakuwa public kila mtu ajue siyo unapost ili mradi na ww uonekane umetoa post.Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
sijaelewa anatuambia nini kaanzia katikati kaishia katikatiatakayeelewa mada naomba anihadithie.
Duh!Hivi mishahara ya watumishi wa umma bado haijatoka ya mwezi huu?
hahaahahh usije ukanifanya nikatoka mbio hapa kibaruani kuwahi benki hahahahahaha
hakuna atakayeielewa hiyo mada ndugu yangu kwani naona alikurupuka kuiandika huyumtoa uziatakayeelewa mada naomba anihadithie.
Shilawadu wanakuhusu, hovyo kweli!Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app