Mmemuona Maulid wa Kitenge?

Mmemuona Maulid wa Kitenge?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15,771
Reaction score
14,294
Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila wanalofanya au kuona kwenye mitandao hasa instagram,Maulid Kitenge naye ameiga tabia hiyo anapost kila kitu afanyacho.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ndo wa kupimwa mkojo, kumaliziana mb tu hapa hiyo misuto yenu c muishie nayo hukohuko. Unachokiandika hapa unafikiri cc sote tunakijua? Jf is s public plattform so andika kitu ambacho kitakuwa public kila mtu ajue siyo unapost ili mradi na ww uonekane umetoa post.
 
Back
Top Bottom