Mmetangaza nia ya kuanza mikutano. Je, mna nini cha kutushawishi?

chagu wa malunde,
labda uwaulize maaskofu (usisahau na mashehe).

wenzetu Chadema tayari wali act proactively bungeni lakini mbumbumbu wa chama chetu CCM (kina Musukuma & co) waliitupilia mbali hoja ya Msigwa kuhusu Corona na badala yake wakawa wanalialia kunyimwa mkopo na WB wakati sisi ni dona kantri.

pathetic!!
 
Hivi!, watakuwa wanatuambia nini kwenye majukwaa??.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuapia Mbowe alishasoma alama za nyakati na akaona hii corona lazima itafika Tanzania na akajua kabisa ikifika basi mikusanyiko ya watu wengi itapigwa marufuku ndiyo maana anatishia. Subiri kidogo siku za mbeleni atakuja kusema kama siyo ile marufuku ya corona tungeitingisha nchi.
 
Huwa unaenda dukani Kununua chakula au unaletewa,unajua wengi ula Milo mingapi Kwa siku
Uliposema njaa nikajua kwamba hapa Tz hamna uzalishaji wa chakula. Kuhusu kula milo mingapi hata enzi za Mwl ilitegemea na eneo. Kwa Dar(uswahilini) nasikia ilikuwa pasi ndefu mbili kwa siku.Ila mikoani pasi fupi fupi hata nne maana watu wanalima. Labda Dar sababu hawalimi.
 

Just watch this space!
 
Tafsiri ya njaa ni purchasing power ya watu Kununua
 
Wapeni nafasi ya kufanya mikutano ili tuone kama hawana cha kuwashawishi wananchi. Hawa ndo mastermind wa CCM na nchi yetu ya Tanzania kuelekea uchumi wa viwanda kwa mawazo haya.
 
Itapita kama operation UKUTA ilivyopita. Debe tupu......
 
Kabla ya yote muulize Magufuli 2015 aliambulia kura ngapi ? halafu muulize akunong'oneze kisa cha kuvunja katiba na kukataza mikutano ya siasa , akikujibu njoo uniambie , hii chadema unayoiona ni noma !
 
We unajua ung'eng'e au fala tu ambaye hujitambui!

Incompetence yako ya kutokujua Kingereza isikufanye uwe na chuki na wanaojua

Ni uzembe wako binafsi

Punguza chuki na wivu,ni lugha ya kawaida tu,kajifunze!

Watanzania tuna English phobia,tukiona Kingereza tunaona mwisho wa dunia umefika

Kingereza hujui,Kiswahili pia hujui,ndio maana posts zako zina very poor Kiswahili,si ajabu hadi lugha ya kabila lako hujui pia!

Wewe hasara tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…