Mmetangaza nia ya kuanza mikutano. Je, mna nini cha kutushawishi?

Kamanda mkuu Chadema amesema ataanza mikutano ya kunadi sera za chama chake kwa wananchi sababu zuio aliloliweka mkuu wa nchi limewafanya wakose nguvu na ushawishi.

Ameenda mbali na kusema kuwa hawaogopi risasi wala mabomu (nafikiri anajua lazima zitapigwa maana anasema kule shambani ziliwaka)

Kwa namna Chama tawala kilivyojitahidi kusafisha makosa yake kwa kudhibiti rushwa, ubadhilifu, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma na kujenga miundombinu ikiwemo miradi kama Sgr, JNHHP n.k

Nauliza hawa Chadema watakuwa na sera gani ya kuwashawishi wananchi ili wawe na imani nao kama zamani? Maana ilipotoka ile orodha ya mafisadi pale Mwembe Yanga chini ya Dk. Slaa, Chadema ilipata kick na ikaonekana kama chama cha ukombozi.

Leo hii wananchi hawana imani nao tena. Hasa lilipotokea lile tukio la kubadili gia angani na Dk akaamua kujiengua(wanaonekana kama wahuni tu)

Isiwe ikawa ni hulka tu ya kamanda mkuu kuwa anafurahi watu wakipigwa risasi (walalahoi) maana kwa amri aliyoitoa mkuu wa nchi na yeye anasema ataingia kwa lazima kumwaga sera huenda damu za watu ambao hata hawanufaiki na siasa za Bongo zikamwagika (kumbukeni lile tukio Morogoro).
Wewe bwege hasa,maisha magumu haya CCM imefanya nini?
Wananchi wanakula SGR? hujielewi kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda mkuu Chadema amesema ataanza mikutano ya kunadi sera za chama chake kwa wananchi sababu zuio aliloliweka mkuu wa nchi limewafanya wakose nguvu na ushawishi.

Ameenda mbali na kusema kuwa hawaogopi risasi wala mabomu (nafikiri anajua lazima zitapigwa maana anasema kule shambani ziliwaka)

Kwa namna Chama tawala kilivyojitahidi kusafisha makosa yake kwa kudhibiti rushwa, ubadhilifu, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma na kujenga miundombinu ikiwemo miradi kama Sgr, JNHHP n.k

Nauliza hawa Chadema watakuwa na sera gani ya kuwashawishi wananchi ili wawe na imani nao kama zamani? Maana ilipotoka ile orodha ya mafisadi pale Mwembe Yanga chini ya Dk. Slaa, Chadema ilipata kick na ikaonekana kama chama cha ukombozi.

Leo hii wananchi hawana imani nao tena. Hasa lilipotokea lile tukio la kubadili gia angani na Dk akaamua kujiengua(wanaonekana kama wahuni tu)

Isiwe ikawa ni hulka tu ya kamanda mkuu kuwa anafurahi watu wakipigwa risasi (walalahoi) maana kwa amri aliyoitoa mkuu wa nchi na yeye anasema ataingia kwa lazima kumwaga sera huenda damu za watu ambao hata hawanufaiki na siasa za Bongo zikamwagika (kumbukeni lile tukio Morogoro).
Wee ni changu hivyo endelea kujiuza hadi vyombo vya uzazi vizeeke!
 
Acha upuuzi.Wafanyabiashara 90% ni std seven kila siku wanaenda China na wanaleta mizigo. Sasa mimi mkulima wa mahindi unaniletea habari za kazi na tender. Use your brain perfectly! Acha kukariri

Hao si wafanyabiashara ni wachuuzi

Na huko China wanaongea Kiswahili?

Mbuzi wewe

Na Emails wanaandika kwa Kiswahili?

Kiazi wewe

Na Miakataba wanaandika kwa Kisukuma

Mapumba wewe

Kasome huko mwehu wewe
 
Ile CCM iliyopita ilichafuka hili sio siri kidogo na mlivyo wadanganya jamaa flani muunde ukawa hiyo ilisababisha mkapata vijikura. Lakini 2020 sijui itakuwaje? Kuhusu mikutano nia ilikuwa njema tufanye kazi ili kujenga nchi na matunda umeyaona Sgr,Busisi bridge,Barabara zinajengwa ,vituo vya afya na hospital. Sio kupoteza muda na kuleta propanda zinazoleta vurugu ambazo hazina maana.Fursa ya kunadi sera zenu walipewa wabunge wenu ila nao baada ya kuona uchapakazi wa JPM wengi wao wameamua kuunga juhudi.

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuchambua mambo. Rudi darasa la awali mara tu shule zitakapofunguliwa. Haujachelewa bado, na elimu haina mwisho.
 
Usiseme wananchi hawana imani. Sema wew na familia yako mkuu. Haya hawana jipya basi kaa kutulia sisi tunaona wana jipya tutahudhuria.
umepata mda wa kumjibu huyu HAYAWANI wa lumumba?
Hii mijitu inayoua watu na kupeleka coco beach
 
Kamanda mkuu Chadema amesema ataanza mikutano ya kunadi sera za chama chake kwa wananchi sababu zuio aliloliweka mkuu wa nchi limewafanya wakose nguvu na ushawishi.

Ameenda mbali na kusema kuwa hawaogopi risasi wala mabomu (nafikiri anajua lazima zitapigwa maana anasema kule shambani ziliwaka)

Kwa namna Chama tawala kilivyojitahidi kusafisha makosa yake kwa kudhibiti rushwa, ubadhilifu, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma na kujenga miundombinu ikiwemo miradi kama Sgr, JNHHP n.k

Nauliza hawa Chadema watakuwa na sera gani ya kuwashawishi wananchi ili wawe na imani nao kama zamani? Maana ilipotoka ile orodha ya mafisadi pale Mwembe Yanga chini ya Dk. Slaa, Chadema ilipata kick na ikaonekana kama chama cha ukombozi.

Leo hii wananchi hawana imani nao tena. Hasa lilipotokea lile tukio la kubadili gia angani na Dk akaamua kujiengua(wanaonekana kama wahuni tu)

Isiwe ikawa ni hulka tu ya kamanda mkuu kuwa anafurahi watu wakipigwa risasi (walalahoi) maana kwa amri aliyoitoa mkuu wa nchi na yeye anasema ataingia kwa lazima kumwaga sera huenda damu za watu ambao hata hawanufaiki na siasa za Bongo zikamwagika (kumbukeni lile tukio Morogoro).

1. muonyeshe kaburi la ben saa 8

2. kaburi la kangoye na azory

3. NYUMBA ZA SERIKALI MRUDISHE

4. VIWANJA VYA MPIRA NA PUBLIC SPACE MRUDISHE

5. MIUACHE KUTUMIA SHEHE MKUU KISIASA.

6. VIKAO VYA CHAMA IKULU, huu ni uhalifu
 
Ndio ajenda zitakazowapa kick?
 
Back
Top Bottom