Ukisoma hoja kama hii na kuambiwa imeandikwa na mtu ambaye pengine amesoma zaidi hata ya darasa la saba na ana umri zaidi ya miaka 21 basi unaishia kulionea huruma taifa.
Unapata ufahamu kwa nini watu RAIA wa nchi kama Kenya au Uganda wanatudharau sana pale tuu usemapo unatoka Tanzania. Kwa nini mleta mada mnapenda kutuaibisha Watanzania kuwa nchi ya wajinga wakati ni nyie wachache?
Jee ni hizo buk7 mnazopewa na Chakubanga? Hivi hali ya maisha ya watanzania awamu hii ya tano ilivyo mbaya huioni hadi useme kina Mbowe hawana agenda? Uko wapi wewe hata kama ni mjinga usione?
Sent using
Jamii Forums mobile app