Mmetangaza nia ya kuanza mikutano. Je, mna nini cha kutushawishi?

Kwa nini umezisoma na kuweka comment? Ungekaa kimya ule ugali umelazimishwa?
 
Kabla ya yote muulize Magufuli 2015 aliambulia kura ngapi ? halafu muulize akunong'oneze kisa cha kuvunja katiba na kukataza mikutano ya siasa , akikujibu njoo uniambie , hii chadema unayoiona ni noma !
Ile CCM iliyopita ilichafuka hili sio siri kidogo na mlivyo wadanganya jamaa flani muunde ukawa hiyo ilisababisha mkapata vijikura. Lakini 2020 sijui itakuwaje? Kuhusu mikutano nia ilikuwa njema tufanye kazi ili kujenga nchi na matunda umeyaona Sgr,Busisi bridge,Barabara zinajengwa ,vituo vya afya na hospital. Sio kupoteza muda na kuleta propanda zinazoleta vurugu ambazo hazina maana.Fursa ya kunadi sera zenu walipewa wabunge wenu ila nao baada ya kuona uchapakazi wa JPM wengi wao wameamua kuunga juhudi.
 
Ukisoma hoja kama hii na kuambiwa imeandikwa na mtu ambaye pengine amesoma zaidi hata ya darasa la saba na ana umri zaidi ya miaka 21 basi unaishia kulionea huruma taifa.
Unapata ufahamu kwa nini watu RAIA wa nchi kama Kenya au Uganda wanatudharau sana pale tuu usemapo unatoka Tanzania. Kwa nini mleta mada mnapenda kutuaibisha Watanzania kuwa nchi ya wajinga wakati ni nyie wachache?
Jee ni hizo buk7 mnazopewa na Chakubanga? Hivi hali ya maisha ya watanzania awamu hii ya tano ilivyo mbaya huioni hadi useme kina Mbowe hawana agenda? Uko wapi wewe hata kama ni mjinga usione?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hoja mna nini cha kutushawishi? Na Chakubanga ndio nani?
 
Kwa nini umezisoma na kuweka comment? Ungekaa kimya ule ugali umelazimishwa?

Umeziandika na kuweka kwenye public space

Ili sisi public tusome na kuzijibu

Na mimi ni mmojawapo wa public

Hivyo nilisoma na kuzijibu maana ni wajibu wangu kama public

Ungeziweka private usingetuona sisi public

Pia punguza wivu kwa aliekuzidi Kingereza

Ni lugha tu,punguza chuki za kimama namna hii

Na hivi hapa kuna ugali nani kapika?

Stop this nonsense wewe
 
Kiingereza kitanisaidia nini?
 
Ajenda kuu ni mademu zetu wamepigwa na askari magereza hahàaaaaa , mwenyekiti kaonewa kanyolewa tako magereza hahaaaa........safari hii kazi sana huko chandumu.
 
Ndugu zetu chadema wabadilike bana.WaTZ si wadanganyika tena kushibisha matumbo yao kwa maaigizo ya bongo movies zao ambazo zinaonekana waziwazi
 
Kiingereza kitanisaidia nini?

Mpaka leo hujui Kingereza kitakusaidia nini?

Hivi unaelewa huombi kazi popote kwenye jamhuri hii bila kuandika barua kwa Kingereza?

Hujui ni wajibu wa kila mtoto kusoma kwa Kingereza kitupu kuanzia Form One mpaka PHD?Bila Kingereza huruhusiwi kusoma kwenye hii Jamhuri?

Hakuna hukumu inaadikwa kwa Kiswahili kwenye jamhuri hii.Hukumu zote ni lazima zinadikwe kwa Kingereza!

Hujui kua ukitaka kuagiza au kununua kitu chochote nje ya nchi ni lazima mawasiliano yawe ya Kingereza?Hujui hili?

Hakuna Tender nchi hii inaandikwa kwa Kiswahili zote ni sharti ziwe za Kingereza.Hili hujui?

Mikataba yote kati ya Taasisi zote za serikali na yeyote wa ndani na nje ya nchi ni lazima iandikwe kwa Kingereza na sio Kiswahili.Hivi unaelewa hili?

Na mengine mengi!

Hivi kwenye ubongo wako kumejaa mavi au brains?

Wewe jamaa ni hasara kabisa!
 
Acha upuuzi.Wafanyabiashara 90% ni std seven kila siku wanaenda China na wanaleta mizigo. Sasa mimi mkulima wa mahindi unaniletea habari za kazi na tender. Use your brain perfectly! Acha kukariri
 
Ukisikiza maneno ya huyu mzee ndo utaifahamu vizuri chadema [emoji116]
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada Umeuliza swali zuri,uwe na subira kusikiliza watalokushawishi
 
Ungejua bei wanayolipwa wanaonunuliwa ungejiona bwege sana ! Magufuli angefanya hayo maendeleo unayoyanadi hapa angekuwa anatetemeka akiisikia Chadema ?
 
Hawa ni wahuni tu wanataka kutupora mtaani! Wakitoa pua tu FFU wawakung'ute mpaka wapoteane! This time wasiishie kuvunja mikono tu nyambafu hawa! Hapa tunatafakari namna ya okupambanaa na coronavirus wao wanapanga kutupora!
Mporwe mna nini nyie CCM wakati mnakaa mabondeni huko.ndio maana waliojenga vibanda mto Msimbazi hawakuvunjiwa...ila mansions za Kimara na Kibamba zikavunnjwa..nyambafu
 
Mporwe mna nini nyie CCM wakati mnakaa mabondeni huku..ndio maana waliiojenga vibanda mto Msimbazi hawakuvunjiwq..ila mansions za Kimara na Kibamba zikavunnjwa..nyambafu
Kama ccm hatuna kitu iweje nyie ambao hata makao makuu yeni mmepanga! Ndio maana tunajiogopea kuporwa na makanjanja nyie wa chadema maana hata ofisi tu hamna wahuni watupu ninyi!
 
Jifunze kwanza matumizi ya mabano,hayo mengine yote ni ujinga wako kutojua matatizo yaliyomo nchini mwako wakati ww na nduguzo mnateseka na maisha
 
SOMA UELIMIKE
 

Waulize wanao wazuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…