Dah! Hata mimi mkuu nimenunua maeneo hayo karibu na njia ya kwenda sadani heka 12 mwaka 2016, baada ya kumaliza kulipia na dokumenti zote ninazo ila kila nikisema naenda kuliangalia hadi leo sijawahi, na hapo nshatuma ela likalimwa lote likapandwa miogo na mahindi hadi tuligombana na wife baada ya ahadi za kwenda kulitembelea kuahirishwa, siku moja akaniambia anahisi kuna mchezo umefanyika,
Huwezi amini na namba ya alieniuzia na kulisafisha ninazo hadi sasa hivi, lkn kila nkisema nawapigia nasahau tu ovyo