Mmewahi kukumbana na uchawi wa kusahaulishwa

Mmewahi kukumbana na uchawi wa kusahaulishwa

We acha ukimpigia utasikia njoo ofcn,njiani nimepanga leo ndio leo nikifika aaah mpoleee ananipiga sound naondoka..naona na yeye anayo zamwamwa yule
. Apo tumia tu mbinu za kivita ..😀😀
 
Kuna bosi wetu mhindi alikua ana mtindo wa kuturudisha kwa gari hadi Victoria tulikua tunapita Kkoo almost daily.

Kuna siku gari ikapata pancha tukiwa hapo Kkoo. Tukasogeza gari pembeni kwenye uwanja wa nyumba ambayo wamiliki ni waarabu au wazenji.

Tukatoka kwenda kutafuta mtu wa pancha. Tumefika mbele bosi akasema tuwahi ofisini turudi baadaye, baadaye akasema kesho. Kesho akasema kesho.

Ikakata wiki.

Mkewe akatuhimiza tukamuonyeshe nyumba tukafunga safari, tumefika lile eneo mke akasema ngoja nikachukue vocha dukani, tulivyofika dukani akanunua soda tumekunywa tulivyomaliza akasema tuwahi nyumbani tutarudi kesho.

Mpaka naacha pale kazi ilikua miezi miwili lile gari halikufuatwa.

Miaka minne mbele work mate wangu ananiambia lile gari halikufuatwa. Ila mkipita Kkoo bosi atasema halafu pale niliacha gari langu, kesho nalifuata. Na hafuati.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa saut iusiku
 
Daaaah izo dawa zipo mkuu ...siku moja nipo na babu shambani tunalima akanionyesha mzizi flan hiv ..ambao alisema hata ukiwa na kesi sehemu basi ukifika pale yule jamaa ataomba mpatane kwa aman so hiv vitu vipo Africa

kuna dereva alinisimulia alikapa lift kazee fulani ka Iringa huko,hiyo siku hakusimamishwa hata na polisi mmoja njia nzima mpaka Mwanza.kale kazee kalimwambia we usiwe na wasi wasi tutafika bila tatizo ,maana jamaa alizidisha mizigo kwenye gari siku hyo
 
Uchawi haupo,uchawi ni akili zako.

we bisha tu humu JF, mimi nimewahi kuamka geto usiku nakuta watu pembeni ya kitanda wanaimba alafu ni usiku nawaona kabisa taa inawaka walipotea ghafla.mimi nimeuona kwa macho acha wale watu wa story za kuadithiwa i have seen it with my own eyes na imeniathili mpaka leo na utu uzima huu naogopa kulala peke yangu
 
Nikupe dawa ya kudhibiti hali hiyo?.Wala haina gharama.Ni kumwini Mungu,kumtegemea yeye maana yake Usali sana kila wakati,Ondoa uoga,acha kuogopa vitu ambavyo havina nguvu,vipo sawa lkn havina nguvu yoyote,usiruhusu akili yako iogope uchawi.
 
Uchawi upo, kwangu mm huu uchawi wa kuona mtu yeyote aliyeko sehemu yoyote kwa mda wowote bado unanitisha sana,tena screen inatokea mawinguni,yaani dunia ina mambo.
Upo lkn msiuhusudu kiasi hicho,binafsi siogopi uchawi ila naogopa kuwekeza akili yangu kwenye ushirikina badala ya Kumtumainia Mungu tu .
 
Mkuu Mimi nimeshuhudia na nina uhakika na hii kitu...basi ngja nigeneralize kwa kusema uchawi wa kizigua una uwezo wa kufuta form zote za ushahidi ikiwemo na hizo documents za upelelezi tena ikiwezekana kumsahaulisha kabisa mpelelezi wa kesi yako
Wazigua wanapatikana Tanga?
 
Tukiwa primary kuna dawa tulikua tunatumia kuwasahaulisha walimu kutoa adhabu. Sina uhakika kama ilikua inafanya kazi thou cku zote tulizofanya majambo maticha ata kama walikua manachapa wachelewaji ila class kwetu walikua wanapita tu kama hawapaoni😆😆

Tukiwa advance mshkaji alikamatwa na cm ye na wenzie na hadi maelezo ya kukiri waliandika ila karatasi yake ilipotea mazima,simu pamoja na line yake vilipotea kusikojulikana. Lastly wengine walipigwa suspension adi necta ila ye alikuwepo skuli anadunda tu.
Bongo raha sana😋😋
 
Kuna dawa ya kesi unapewa unapaka makalioni...ukienda mahakamani na mashahidi wakija na kupewa muda wa kutoa maelezo... kabla hajaanza kuongea unabana makalio...wee ataanza kuongea pumba na issue tofauti na kesi,,haya akimaliza unalegeza makalio...hakimu anakupa nafasi ya kuuliza swali kwa shahidi..Basi unauliza swali ..kabla ya mtuhumiwa kujibu unakua ushabana makalio...Basi anaongea ujinga balaa. .mwisho wa siku kesi inaisha unakutwa huna hatia
 
we bisha tu humu JF, mimi nimewahi kuamka geto usiku nakuta watu pembeni ya kitanda wanaimba alafu ni usiku nawaona kabisa taa inawaka walipotea ghafla.mimi nimeuona kwa macho acha wale watu wa story za kuadithiwa i have seen it with my own eyes na imeniathili mpaka leo na utu uzima huu naogopa kulala peke yangu
mkuu leta stori vizuri tujifunze
 
Back
Top Bottom