Mmewahi kukumbana na uchawi wa kusahaulishwa

Mmewahi kukumbana na uchawi wa kusahaulishwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh kumbe pale ununio kuna mambo ya kutisha kiasi hichi bila shaka watakuwa wazee wa pwani pale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Angalau saiv kunabadilika zamani ilikuwa ikifika saa nne usiku mbuzi kama 50 ivi wanajichunga wenyewe barabarani na hawapishi gari wanalala barabarani.

Alafu kuna mzee mmoja ana mapaka wengi sana anawafuga ukipita kwa nje unakuta anawalisha chakula.
 
Kwakweli ununio miaka iyo ilitisha sana lakini kwa sasa naona mji umechangamka sana nimepita juzi nimekuta shamla shamla kama zote vp yule jamaa wa mapaka bado yupo[emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwetu uziguani hata kesi iwe vipi ukitaka unashinda tu hapo faili la kesi yako linapotezwa au linaungua moto hii hata mahakimu na majaji wanajua kwamba ukikutana na Mzigua uwezekano wa kufungwa ni asilimia 2% tu..tembea uone
hii ni kweli nimekaa na wazigua sana
 
Mkuu file kabla halijaenda mahakaman linachapishwa Kwanza inamaana copy yake inakua ipo mpelelez wa kesi anakua na ushahid mwng sana wa kukutia hatiani hizo kes ni mbaya Sana, we bora umtandike mtu mtaan umjeruhi siku ya kesi ndo umloge asahau kuja mahakamani ila hizi kes unazo shtakiwa na jamuhuri hizo hazipanguliwa kwa uchawi peke yake lazma umwage na pesa hapo
Mkuu Mimi nimeshuhudia na nina uhakika na hii kitu...basi ngja nigeneralize kwa kusema uchawi wa kizigua una uwezo wa kufuta form zote za ushahidi ikiwemo na hizo documents za upelelezi tena ikiwezekana kumsahaulisha kabisa mpelelezi wa kesi yako
 
Kipindi flani kuna kesi ya jinai ilikuwa inaendelea iko moto ushahidi umesimama sasa kwenye hukumu PP alishindwa kupanda kuonana na MH ..kila akipanda tumbo linakata linamvuruiga vibaya..akienda toilet hamna kitu..akirudi tu kwenye chamber hali inakuwa mbaya ghafla..ngoma ika hairishwa kama mara mbili hivi....majamaa wenzie wazoefu wakamfata wakamwambia ukikomaa unaweza kata moto hapo bora uwatafute ndugu wa mtuhumiwa uvute chako uyeyushe mambo usitoke kwa hasara..kweli mambo yakaisha.

Shenzi kabisa hayo mambo ya kichawi

Tusimulie kidogo tujifunze
 
Uchawi haupo,uchawi ni akili zako.
Mkuu usiseme hivo labda hujawahi kushuhudia, kuna liletukio lilitokea juzi kati hapa huko iringa mtoto anawaka moto...lile tukio nilikuwepo nilishuhudia kwa macho yangu...ni mambo ya ajabu sana...

Nishawahi shuhudia mtu amepigwa radi mchana kweupee..imepita mvua ya manyunyu na radi juu ikambatua then ikasepa muda huo huo.
 
Ulijaribu kufuatilia historia za hao watu lakini?
 
Mkuu usiseme hivo labda hujawahi kushuhudia, kuna liletukio lilitokea juzi kati hapa huko iringa mtoto anawaka moto...lile tukio nilikuwepo nilishuhudia kwa macho yangu...ni mambo ya ajabu sana...

Nishawahi shuhudia mtu amepigwa radi mchana kweupee..imepita mvua ya manyunyu na radi juu ikambatua then ikasepa muda huo huo.

Anawakaje Moto.
 
Nilikua mmoja kati ya watu waliopinga sana uwepo wa uchawi.Maniner kilichonipata mwaka mmoja hata kusimulia sitaki.
...Pole sana Mkuu Kimpyempye kwa yaliyokukuta.
In jambo jema ukayasimulia hapa ili wana JF wachote Mauzoefu na kukaa Standby! tunakuomba Mkuu....
 
Miaka mitano nyuma niliamini hivyo. Hata Mungu aliponitahadharisha kwa ndoto juu ya mipango miovu ya giza juu yangu nilipuuzia.

Hata nyuzi zangu za miaka ya 2011 - 2014, kila nilipokuwa naona nyuzi za dizaini hiyo, niliishia kuwakashifu waleta nyuzi na kuwaambia Ni kwa kuwa hawana Yesu.

Leo hii sihitaji kuambiwa na mtu ili niamini kwamba uchawi una nguvu, na ukikosea ukampa nafasi shetani ndipo utajua kwa undani zaidi.

Unajua hadi unaweza sahaulishwa kusoma hata Biblia? Acha niishie hapa.
These are two unequal camps. Each camp works depending on your desire.
 
Back
Top Bottom