Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Mkuu kule ununio kuna mama mmoja aliachiwa nyumba akae, yeye akafanya yake sasa wenyewe kila wakija wanaipotea nyumba yao. Siku ya siku sijui dawa ziliisha nguvu au nao walitumia ndumba walipofika tu kwenye nyumba yao gari ikapata pancha wakaingia ndani alafu wakamfurusha yule mama.Kuna mmoja alimloga baba mwenye nyumba wake jamaa akasahau nyumba yake kwa miaka 8
Kimara mwisho hii kitu though ni hear say
Kwa hasira na nyumba wakaamua kuiuza.