Yan my point ni kua u cnt access data za 2022 2023Umechanganya mambo. Training data ni za 2021 kurudi nyuma ila app ni ya March 14 hata hiyo screenshot ukiangalia utaona hapo. Kilichoongezeka ni ufanisi na speed. Majibu ya sasa yanakuwa more accurate.
Kila mtu saivi anatumia version hiyo ya 14 march ila wapo wana access gpt4 na wapo ambao hawa access mana gpt4 ni ni kwa plus users (yaani wanaolipia) ama tena utumie GPT-4 ya API ambayo offcourse pia ni ya subscription sio free japo kunakuwa na free credits mwanzoni.
Ndio mana nikakwambia unachanganya mambo.Lakin ukiuliza chochote cha after 2021 haikupi majibu inasema haina data za after 2021
[emoji849][emoji849][emoji849]bas hainifai hyo...so hata ya kulipia ni hvo hvo?Ndio mana nikakwambia unachanganya mambo.
Kuna tofauti ya version ya app na data zilizotumika kuitrain.
Walichoongeza ni ufanisi wa kupata majibu sahihi zaidi ila sio taarifa za mwaka huu ama mwaka jana. Hiyo kuongeza taarifa za mwaka jana ama mwaka huu inaitwa model training. Wao wanaendelea kui train kwa data za 2021 kurudi nyuma ila wanaongeza ubora wa majibu na speed.
Current affairs huwezi zipata hata kwenye ya kulipia.[emoji849][emoji849][emoji849]bas hainifai hyo...so hata ya kulipia ni hvo hvo?
Okay,asanteCurrent affairs huwezi zipata hata kwenye ya kulipia.
Ila pia sio kwamba haikufai bali unaitumia kwenye matumizi sio sahihi.
Nikupe mifano rahisi rahisi ambayo nimeona watu wakiitumia hapa kazini:
1. I want to write a nice letter asking my boss to increase the budget of sales and also pay commission to salesmen to motivate them. I want the letter to be like a report detailing the current situation and the risks of loosing the market if we don't change the strategies. Where there is a need of including figures you can put imaginary data I will replace them with actual data that I have. Where you need names and addresses you can put imaginary names and addresses and I will replace them in the final version. Don't write explanations. Just write the letter. It has to be long and professional with expert tone.
2. I want to take a leave. I feel exhausted. I feel tired. I want you to write a letter for me asking for 12 days off from next week. Make it short and to the point. Dont write explanations.
3. My mom is sick, I want to ask for three days to go and see her. Write for me a letter to my boss to that effect.
4. I have been asked to give a report of our department, the department is a production department. Production is very low. Some workers have left their job. Attendence is bad. Suppliers don't deliver on time. One of the main machine is not working for a week. The mechanic said he is waiting for spare parts from Nairobi. Just start with the report, don't write explanations.
5. I want to sell a piece of land. I want you to write a sales contract for me.
The quarter final draw for the UEFA Champions League 2022/23 will take place on Friday 17 March 2023 at 11:00 GMT⁴. It will be an open draw, meaning that any of the remaining eight teams can face each other⁵.[emoji848]View attachment 2553358
Utazipata for free iwapo tu utatumia Bing AI, Rejea post yangu hapo juu.Current affairs huwezi zipata hata kwenye ya kulipia.
Yeah kwa Bing ni sahihi mana wao ni search engine na ni custom model ya GPT sio the main model.Utazipata for free iwapo tu utatumia Bing AI, Rejea post yangu hapo juu.
Heeee aisee mnafaidiiiii
Kwa sasa kuipata lazima uwe na GPT Plus (20$/month), lakini nasikia kuna waitlist na itakuwa bureHyo version Unalipia au free
Kama Microsoft wakiacha uhafidhina watamtetemesha sana Google ila kwa uhafidhina wao wa sasa sijui kama Google atawaacha salama.Utazipata for free iwapo tu utatumia Bing AI, Rejea post yangu hapo juu.
Ohooo wacha nisubrie hyo freeKwa sasa kuipata lazima uwe na GPT Plus (20$/month), lakini nasikia kuna waitlist na itakuwa bure
Unatumia simu ya android or iphone?Ohooo wacha nisubrie hyo free
Kama Microsoft wakiacha uhafidhina watamtetemesha sana Google ila kwa uhafidhina wao wa sasa sijui kama Google atawaacha salama.
Google wamenyamaza kimyaaa kama hawapo baada ya kuzingua kwenye presentetion yao ya BERT ila wakiibuka na AI Powered Google vita inaanza upya mana hata openai watasahaulika kwa general users watabaki kwa technical users tu.
Web3 lazima kwanza ipotee kwa muda ila FB wanapambana ku integrate AI kwenye metaverse, etc. I think kwa makampuni makubwa kama Meta, Amazon na wenzao ambao walishawekeza vya kutosha kwenye Web3 wata capitalize AI kuifanya Web3 na AI ziwe zinaenda pamoja.Google akiibuka anakuja Kumaliza kila kitu. Ila hii AI ilivyokuja juu ghafla eti imeiziba hadi Web3 imekuwa kimya! au ni mimi tu ndio naona hivyo
Web3 lazima kwanza ipotee kwa muda ila FB wanapambana ku integrate AI kwenye metaverse, etc. I think kwa makampuni makubwa kama Meta, Amazon na wenzao ambao walishawekeza vya kutosha kwenye Web3 wata capitalize AI kuifanya Web3 na AI ziwe zinaenda pamoja.
Dunia inapoenda watu wengi watakuwa na digital bots wao anaeweza kumtuma kazi ndogo ndogo akafanye.
Ni kuandika list ya TODOs na muda wa kuzifanya. Bot anapiga mzigo wote at high level of accuracy - jioni unapiga hesabu tu.
Kuna addon moja nilikuwa na integrate leo kwa one of our company website yenyewe ukiifungua page ukiona ni ndefu sana huna muda wa kusoma unaiambia by voice summarise this page, take key points, read loud for me and send a voice note to my WhatsApp. Inakuuliza WhatsApp number then itafanya kazi yote uloituma.
Na inaweza interact na database pia ikisetiwa ili kutoa more details zinazohusiana na current page ambayo mtu anaisoma. No more clicking links.
Nimeona watu wapo speed sana kuunda apps zinazotumia GPT. Kuna app kanitumia test version jamaa unaweza ipa prompt kama hii:
"I want to buy nice, durable and classic shoes, crawl the web and get me some few options with good prices and good ratings."
Any product unaweza weka. Yenyewe inapita ecommerce zote na ku pick few items inakupa links.
Jamaa anataka ikikamilika uweze kuiambia:
"Okay order the second option there and fill all the forms. Leave the payment authorisation to me. I prefer paypal." Iweze kufanya hivyo. So the future of AI is really interesting.
Bora kazi nyingi zifanywe na bots watu tubaki ku enjoy maisha tu aisee mana dah.
Yeah its fascinating hasa hasa model inapoweza ku learn na ku work the way you wish. Kuna good vibes zinakujaga automatic. I'm new in Data Science, ML and AI ila tayari nimeona vile ukikomaa na kitu kikakubali unapata good vibes. Hizi kitu ziko so addictive.Exactly, kazi zikifanywa na AI ina maana maisha yanakuwa mepesi na tunaongeza productivity kwa kuweka focus on most important tasks
Kuna jamaa yangu nmemuacha anajaribu kutengeza bot ambae atakaemsaidia kufanya arbitrage kwenye crypto maana volatility ni kubwa
Nilikuwa fascinated na Web3 sasa AI halafu niko business field naona wenzangu wanafaidi[emoji23]
Jibu lako hili hapa chiniTatuzo moja naliona,
Huwez tumia pata source ya information unazotaka, wao wanasema ni web source...
Na information inayotoa ni very limited kwahiyo chance for geting misleading information bado ni kubwa sana.
Mtazamo wangu.
Hii inahitaji kwanz huwe na uelewa na unachokifanya na uwe unajua kabisa unachokitaka ni kitu gani.
na wewe uwe unaiongoza kufanya kile unachotaka. vingine itakuketea mambo ya hovyo.
Sema inarahisisha kazi kwa sisi tunaoelewa nini tunataka ifanye.