Google akiibuka anakuja Kumaliza kila kitu. Ila hii AI ilivyokuja juu ghafla eti imeiziba hadi Web3 imekuwa kimya! au ni mimi tu ndio naona hivyo
Web3 lazima kwanza ipotee kwa muda ila FB wanapambana ku integrate AI kwenye metaverse, etc. I think kwa makampuni makubwa kama Meta, Amazon na wenzao ambao walishawekeza vya kutosha kwenye Web3 wata capitalize AI kuifanya Web3 na AI ziwe zinaenda pamoja.
Dunia inapoenda watu wengi watakuwa na digital bots wao anaeweza kumtuma kazi ndogo ndogo akafanye.
Ni kuandika list ya TODOs na muda wa kuzifanya. Bot anapiga mzigo wote at high level of accuracy - jioni unapiga hesabu tu.
Kuna addon moja nilikuwa na integrate leo kwa one of our company website yenyewe ukiifungua page ukiona ni ndefu sana huna muda wa kusoma unaiambia by voice summarise this page, take key points, read loud for me and send a voice note to my WhatsApp. Inakuuliza WhatsApp number then itafanya kazi yote uloituma.
Na inaweza interact na database pia ikisetiwa ili kutoa more details zinazohusiana na current page ambayo mtu anaisoma. No more clicking links.
Nimeona watu wapo speed sana kuunda apps zinazotumia GPT. Kuna app kanitumia test version jamaa unaweza ipa prompt kama hii:
"I want to buy nice, durable and classic shoes, crawl the web and get me some few options with good prices and good ratings."
Any product unaweza weka. Yenyewe inapita ecommerce zote na ku pick few items inakupa links.
Jamaa anataka ikikamilika uweze kuiambia:
"Okay order the second option there and fill all the forms. Leave the payment authorisation to me. I prefer paypal." Iweze kufanya hivyo. So the future of AI is really interesting.
Bora kazi nyingi zifanywe na bots watu tubaki ku enjoy maisha tu aisee mana dah.