Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Subiri itakuja na matumizi makubwa kuliko hayo, makampuni mengi yataibuka kutokana na hii technology, kama internet, GPS, broadband etc ilisadia makampuni kama Google, facebook, uber etc kuzaliwa basi hii nayo kuna watu watapata namna ya kuitumia na makampuni mengi yatazaliwa, hata wewe unaweza kuanza kufikiria namna ya kuitumia hii technology ukaja na kampuni kubwa kuliko Google...don't underestimate yourself, kazi kwakoSasa hii si itatumika kama mlungula kwa wanafumzi vilaza na tutaendelea kupeana zawadi za phd
Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google.ChatGPT ni nzuri lkn ndio mwanzo na step nzr ya tech colonialism.
Wanaenda ku-cap knowledge ya watu. Duniani tutajazwa garbage na itafikia hatua kutakua na wataalam wachache saaana na hao watamilikiwa na mamlaka zilizolenga kufaidika na huu ukoloni, kwangu chatGPT ni kama game tu au assistant, naipaga movies nnazopenda then inanipa suggestions kutokana na taste zangu, na pia kwa sababu napenda Ancient chinese poetry huwa naiambia initungie poems kwa style za kina Zhuge Liang, Cao Cao etc..... Ila hata siku moja siwezi fanya kitu serious na chatGPT.
In simple terms hii AI model imetrainiwa kutokana na data watu walizoandika mitandaoni toka enzi zile. Sasa kwa speed hii nmeona blog posts nying zimeanza kutumia hii AI generated content. Kwa maana hio in 2 to 5 years ChatGPT itakua inalearn kutumia 'its own output' coz ndo zitakazokua zimejaa online kpnd hiko and trust me kama ushafanya AI development na ukajaribu kutrain model yako kwa output yake basi unafaham kiakachokukuta. Ni kama vile binadam uwe unakula nnya yako. Facebook na twitter wanajua vzr madhara ya hio kitu coz iliwatokea kwenye algos zao za newsfeed suggestion kpnd fln miaka ya nyuma.
Mitandao inayoendeshwa na akili kubwa kama StackOverflow wameshazuia hizo content kutoka ChatGPT
Umesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google, ChatGPT itaendelea kulishwa billions of data every second and will improve na kuendelea kuwa smart na nina uhakika itajifunza new and better technique kuliko inazotumia sasa, kumbuka makampuni kama Amazon, Facebook, Google etc yalivyoanza yalikuwa kama simple blogs tuu na hayakuwa na uwezo wa kufanya vitu yanavyofanya sasa hata kwa 0.000001%, hii kitu ipe muda itakushangaza mambo itakayokuja kuwa na uwezo nayo, can't predict lakini sasa naona machines zitaanza kufanya mambo mengi katika level ya binadamu au zaidi, bado wapo beta phase so errors bado zipo ndio maana StackOverflow wamezuia
Boss seems uko pessimistic na hii kitu, nakushauri usiwe na wasiwasi anza kufikiria namna ya kuitumia kwa faida yako, jamaa walioanzisha Uber, youtube etc hawakuwa watu wa ajabu ila waliona technology kama GPS na internet na kuzitumia kutatua matatizo ya watu, anyway sasa hivi nacheza na hii kitu hapa, nimeiambia inifundishe calculus just to check uwezo wake na kama unavyojua hii kitu ina follow up questions na inakumbuka conversation yote, nakuhakikishia imenifundisha calculus vizuri kuliko mwalimu wangu wa high school mpaka siamini, endelea kucheza nayo utaona mambo mengi sana, kwa haraka haraka naona hii kitu inaweza kuwa my private tutor maana hii sio kama Google you have to search , hii unaiuliza inakujibu hapo hapo, imenifundisha na tume solve lots of math pamojaUmesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.
Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.
Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.
Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.
Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
Your head's primary objective is not to store information.Hii kitu ni nzuri, lakini ina hatari ya kufanya watu kuwa wajinga zaidi, sababu people will no longer store information in their heads; they will always rely on asking AI what to do. So, tutakuwa na wasomi wengi ambao vichwa ni vyeupe sababu wanajua watapata majibu kutoka kwa AI, hivyo watu watakosa kujiongeza kutafuta maarifa na taarifa kutoka vyanzo mbalimbali.
Japokuwa, uzuri wa hii kitu inasaidia sana kwenye automation ya task, mfano nimeitumia kufanya debug ya code na imenionyesha bugs ziko wapi ndani ya sekunde chache tofauti na ambavyo ningechukua muda kuanza to go through codes kupata solution.
Kwangu mimi tunapaswa kufungua macho zaidi kuiona hii kama opportunity ya kutuwezesha kutengeneza products bora ambazo zitaunganishwa na AI ili kuweza kuchakata taarifa na kutoa suluhisho kwa changamoto za jamii yetu. Tusiitazame AI kama threat ila oppotunity.
Mfano 1: Nilijaribu kutumia AI kutuma picha ya jani la mimea ambao una magonjwa kati ya mimea 10 kwa magonjwa tofauti iliweza kunipa majibu sahihi kwa magojwa 7.
2. Nikajaribu kuweka picha ambayo iko na idadi tofauti tofauti ya watu na kuuliza kuna watu wangapi kwenye hizo picha ikanipa majibu sahihi kwa picha 5 kati ya 10.
3. Nikaweka picha nyingine ya watu wakiwa wanafanya action tofauti tofauti na ikanipa majibu sahihi kwa picha 4 kati ya 10
4. Nikaweka picha 10 za wanyama tofauti na kuiuliza ni mnyama gani ilinipa majibu sahihi kwa picha 6
Sasa kutokana na mifano hiyo niliweza kujifunza kuwa as much as ambavyo wanaendelea kuifundisha AI itakuwa bora zaidi na tutafika wakati ambapo tutaweza kutengeneza solution ambazo zita_automate task kwenye kila sekta.
Ukifikiri nje ya box kama wewe ni mfuatiliaji wa technology au uko na interest kwenye development ya products mbalimbali kuhusu technology utakuwa umepata idea nyingi sana za namna gani ya kuunganisha AI kwenye product zako.
Nimalizie kwa hili kwenye moja ya interview ambayo Elon Musk alikuwa na Jack Ma alisema watu wanafikiri kuwa nuclear ni hatari kwa ulimwengu, lakini AI ni hatari kubwa kuliko nuclear kwa kuwa siku za mbele zitatengenezwa silaha ambazo zinauwezo wa kujiamulia nini cha kufanya bia kupata instructions kutoka kwa mtu.
Dear TAMISEMI,We iambie iamdike barua ya maombi kwa Tamisemi uipe na anuani then uone maajabu, within a second
Imekaa vizuriDear TAMISEMI,
I am writing to apply for the Junior Accountant position advertised on your website. As a recent graduate with a Bachelor's degree in Accounting and four years of experience working in the financial industry, I am confident that I would be a valuable addition to your team.
During my time at NBC Bank, I gained a strong foundation in accounting principles and developed my skills in financial analysis and reporting. I have experience working with financial software such as QuickBooks and Excel, and I am proficient in managing and reconciling financial accounts. In addition, I have excellent communication and problem-solving skills, which have allowed me to consistently meet deadlines and deliver accurate results.
I have attached my CV for your review. It provides a more detailed overview of my education and experience, as well as my skills and accomplishments. I am excited about the opportunity to join your team and contribute my skills and experience to your organization. Thank you for considering my application. I look forward to discussing this opportunity further and how I can contribute to the success of TAMISEMI.
Sincerely, [Your Name]
Hii nimetumia chatgpt
Jamiiforums is a forum for Tanzanians and others to discuss politics, daily events, and various other issues. Write a blog to convince others to join and participate in the forums.mfano tuwekee sample iwe barua iliyotengenezwa na hio ai
Ngoja wabaki kwenye Kiingereza maana wewe Kiingereza hujui na Kiswahili hujui, hivyo huna tofauti na mbuzi au msukule!Hii chatGPT ina accuracy kubwa na inaandika fasta wakati ikiwa kwenye hatua ya beta lakini model yake inategemea majibu ya internet Sana Kwa organization level naiona kama bado ni chalenji hasa zile ambazo hazina infrastructure ya kuhifadhi data Kwa mtindo WA digitali na haya mabando ya bei serikali inatengeneza ugumu Sana WA uundaji WA AI zitakazoelewa lugha ya kiswahili
View attachment 2435786
Niliendelea kuuliza na majibu yalikuwa ya kulizisha
View attachment 2435787
Unaweza kuchati Kwa linki hii