Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Sasa hii si itatumika kama mlungula kwa wanafumzi vilaza na tutaendelea kupeana zawadi za phd
Subiri itakuja na matumizi makubwa kuliko hayo, makampuni mengi yataibuka kutokana na hii technology, kama internet, GPS, broadband etc ilisadia makampuni kama Google, facebook, uber etc kuzaliwa basi hii nayo kuna watu watapata namna ya kuitumia na makampuni mengi yatazaliwa, hata wewe unaweza kuanza kufikiria namna ya kuitumia hii technology ukaja na kampuni kubwa kuliko Google...don't underestimate yourself, kazi kwako
 
ChatGPT ni nzuri lakini ndio mwanzo na step nzr ya tech colonialism.

Wanaenda ku-cap knowledge ya watu. Duniani tutajazwa garbage na itafikia hatua kutakuwa na wataalam wachache saaana na hao watamilikiwa na mamlaka zilizolenga kufaidika na huu ukoloni, kwangu chatGPT ni kama game tu au assistant, naipaga movies nnazopenda then inanipa suggestions kutokana na taste zangu, na pia kwa sababu napenda Ancient chinese poetry huwa naiambia initungie poems kwa style za kina Zhuge Liang, Cao Cao etc..... Ila hata siku moja siwezi fanya kitu serious na chatGPT.

In simple terms hii AI model imetrainiwa kutokana na data watu walizoandika mitandaoni toka enzi zile. Sasa kwa speed hii nmeona blog posts nyingi zimeanza kutumia hii AI generated content. Kwa maana hio in 2 to 5 years ChatGPT itakuwa inalearn kutumia 'its own output' coz ndo zitakazokuwa zimejaa online kipindi hiko and trust me kama ushafanya AI development na ukajaribu kutrain model yako kwa output yake basi unafahamu kiakachokukuta. Ni kama vile binadam uwe unakula nnya yako. Facebook na twitter wanajua vzr madhara ya hio kitu coz iliwatokea kwenye algos zao za newsfeed suggestion kpnd fln miaka ya nyuma.

Mitandao inayoendeshwa na akili kubwa kama StackOverflow wameshazuia hizo content kutoka ChatGPT
 
ChatGPT ni nzuri lkn ndio mwanzo na step nzr ya tech colonialism.

Wanaenda ku-cap knowledge ya watu. Duniani tutajazwa garbage na itafikia hatua kutakua na wataalam wachache saaana na hao watamilikiwa na mamlaka zilizolenga kufaidika na huu ukoloni, kwangu chatGPT ni kama game tu au assistant, naipaga movies nnazopenda then inanipa suggestions kutokana na taste zangu, na pia kwa sababu napenda Ancient chinese poetry huwa naiambia initungie poems kwa style za kina Zhuge Liang, Cao Cao etc..... Ila hata siku moja siwezi fanya kitu serious na chatGPT.

In simple terms hii AI model imetrainiwa kutokana na data watu walizoandika mitandaoni toka enzi zile. Sasa kwa speed hii nmeona blog posts nying zimeanza kutumia hii AI generated content. Kwa maana hio in 2 to 5 years ChatGPT itakua inalearn kutumia 'its own output' coz ndo zitakazokua zimejaa online kpnd hiko and trust me kama ushafanya AI development na ukajaribu kutrain model yako kwa output yake basi unafaham kiakachokukuta. Ni kama vile binadam uwe unakula nnya yako. Facebook na twitter wanajua vzr madhara ya hio kitu coz iliwatokea kwenye algos zao za newsfeed suggestion kpnd fln miaka ya nyuma.

Mitandao inayoendeshwa na akili kubwa kama StackOverflow wameshazuia hizo content kutoka ChatGPT
Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google.

ChatGPT itaendelea kulishwa billions of data every second and will improve na kuendelea kuwa smart na nina uhakika itajifunza new and better technique kuliko inazotumia sasa, kumbuka makampuni kama Amazon, Facebook, Google etc yalivyoanza yalikuwa kama simple blogs tuu na hayakuwa na uwezo wa kufanya vitu yanavyofanya sasa hata kwa 0.000001%, hii kitu ipe muda itakushangaza mambo itakayokuja kuwa na uwezo nayo, can't predict lakini sasa naona machines zitaanza kufanya mambo mengi katika level ya binadamu au zaidi, bado wapo beta phase so errors bado zipo ndio maana StackOverflow wamezuia
 
Not sure about knowledge cap maana watu walisema same thing kuhusu Google lakini kilichotokea ni opposite information zimekuwa nyingi na rahisi kuzipata, watu wanatumia na kugundua knowledge nyingine na biashara za mabilioni zimefunguliwa kutokana na Google, ChatGPT itaendelea kulishwa billions of data every second and will improve na kuendelea kuwa smart na nina uhakika itajifunza new and better technique kuliko inazotumia sasa, kumbuka makampuni kama Amazon, Facebook, Google etc yalivyoanza yalikuwa kama simple blogs tuu na hayakuwa na uwezo wa kufanya vitu yanavyofanya sasa hata kwa 0.000001%, hii kitu ipe muda itakushangaza mambo itakayokuja kuwa na uwezo nayo, can't predict lakini sasa naona machines zitaanza kufanya mambo mengi katika level ya binadamu au zaidi, bado wapo beta phase so errors bado zipo ndio maana StackOverflow wamezuia
Umesemea kulishwa data lkn angalia kwa upeo kdg. Data za sasa za chatGPT zimetolewa kwenye QA based sites kama StackOverflow, Quora, Hackernews, reddit etc....pamoja na vitabuni na ndo maana ukimwambia GPT a-impersonate mtu fln kutoka reddit, quora au forum nyngine anaweza fanya hio kitu.

Kuona hivo watu wakawa wakikuta mtu yyt kwenyw forum fln kauliza swali wanapaste hilo swali kwa chatGPT af wanacopy jibu kurudisha kwenye forum, hii kitu ilisambaa sana hadi bloggers wakaanza kutumia. Na ikafikia hatua staff ya StackOverflow wakagundua hili na wakazuia hizo content.

Sasa kama umenielewa hadi hapo. Ndani ya muda mfupi internet itajaza data kutoka chatGPT, lkn chatGPT anatoa training data kutoka kwenye hiohio internet, yaan data zinakua scrapped then anakua feeded kwenye training phase ambayo lazima wanafanya kila baada ya muda fln coz chatGPT hana access ya net. Kwa maneno mengine kupitia hio circle chatGPT atakua ana-learn kutumia data zake za awali. Na ikifikia hio level basi efficiency ya chatGPT itakua inapungua kila kukicha.

Hata kama hauko kwenye field ya programming kwa maelezo hayo nadhan utakua umeelewa hofu yangu, na sio hofu yangu tu, wataalamu wengi kwenye forums wanahofia sana hio kitu na imesababisha mjadala mzito sana.

Ningekupa mifano ya effects za kutrain AI model kwa kutumia output yake lkn sidhan kama utanielewa
 
Boss seems uko pessimistic na hii kitu, nakushauri usiwe na wasiwasi anza kufikiria namna ya kuitumia kwa faida yako, jamaa walioanzisha Uber, youtube etc hawakuwa watu wa ajabu ila waliona technology kama GPS na internet na kuzitumia kutatua matatizo ya watu, anyway sasa hivi nacheza na hii kitu hapa, nimeiambia inifundishe calculus just to check uwezo wake na kama unavyojua hii kitu ina follow up questions na inakumbuka conversation yote, nakuhakikishia imenifundisha calculus vizuri kuliko mwalimu wangu wa high school mpaka siamini, endelea kucheza nayo utaona mambo mengi sana, kwa haraka haraka naona hii kitu inaweza kuwa my private tutor maana hii sio kama Google you have to search , hii unaiuliza inakujibu hapo hapo, imenifundisha na tume solve lots of math pamoja
 
Inasaidia hii kitu aisee nilikuwa blocked kuandika Landing page fulani kwahiyo ikabibidi niombe msaada inasaidia japo sio 100% accuracy, kwahiyo lazima na wewe ujiongeze kuboresha majibu unayopewa.

Hii kitu baadae nahis wataenda kui commercialize japo wanajiita Non profit... haitokuwa free tena, tu enjoy while we can
 
Hii kitu ni nzuri, lakini ina hatari ya kufanya watu kuwa wajinga zaidi, sababu people will no longer store information in their heads; they will always rely on asking AI what to do. So, tutakuwa na wasomi wengi ambao vichwa ni vyeupe sababu wanajua watapata majibu kutoka kwa AI, hivyo watu watakosa kujiongeza kutafuta maarifa na taarifa kutoka vyanzo mbalimbali.

Japokuwa, uzuri wa hii kitu inasaidia sana kwenye automation ya task, mfano nimeitumia kufanya debug ya code na imenionyesha bugs ziko wapi ndani ya sekunde chache na nikaiambia iandike upya hizo code ikafanya hivyo tofauti na ambavyo ningechukua muda kuanza to go through codes kupata solution.

Kwangu mimi tunapaswa kufungua macho zaidi kuiona hii kama opportunity ya kutuwezesha kutengeneza products bora ambazo zitaunganishwa na AI ili kuweza kuchakata taarifa na kutoa suluhisho kwa changamoto za jamii yetu. Tusiitazame AI kama threat ila oppotunity.

Mfano 1: Nilijaribu kutumia AI kutuma picha ya jani la mimea ambao una magonjwa kati ya mimea 10 kwa magonjwa tofauti iliweza kunipa majibu sahihi kwa magojwa 7.

2. Nikajaribu kuweka picha ambayo iko na idadi tofauti tofauti ya watu na kuuliza kuna watu wangapi kwenye hizo picha ikanipa majibu sahihi kwa picha 5 kati ya 10.

3. Nikaweka picha nyingine ya watu wakiwa wanafanya action tofauti tofauti na ikanipa majibu sahihi kwa picha 4 kati ya 10

4. Nikaweka picha 10 za wanyama tofauti na kuiuliza ni mnyama gani ilinipa majibu sahihi kwa picha 6

Sasa kutokana na mifano hiyo niliweza kujifunza kuwa as much as ambavyo wanaendelea kuifundisha AI itakuwa bora zaidi na tutafika wakati ambapo tutaweza kutengeneza solution ambazo zita_automate task kwenye kila sekta.

Ukifikiri nje ya box kama wewe ni mfuatiliaji wa technology au uko na interest kwenye development ya products mbalimbali kuhusu technology utakuwa umepata idea nyingi sana za namna gani ya kuunganisha AI kwenye product zako.

Nimalizie kwa hili kwenye moja ya interview ambayo Elon Musk alikuwa na Jack Ma alisema watu wanafikiri kuwa nuclear ni hatari kwa ulimwengu, lakini AI ni hatari kubwa kuliko nuclear kwa kuwa siku za mbele zitatengenezwa silaha ambazo zinauwezo wa kujiamulia nini cha kufanya bia kupata instructions kutoka kwa mtu.
 
Hii kitu ni nzuri, lakini ina hatari ya kufanya watu kuwa wajinga zaidi, sababu people will no longer store information in their heads; they will always rely on asking AI what to do. So, tutakuwa na wasomi wengi ambao vichwa ni vyeupe sababu wanajua watapata majibu kutoka kwa AI, hivyo watu watakosa kujiongeza kutafuta maarifa na taarifa kutoka vyanzo mbalimbali.

Japokuwa, uzuri wa hii kitu inasaidia sana kwenye automation ya task, mfano nimeitumia kufanya debug ya code na imenionyesha bugs ziko wapi ndani ya sekunde chache tofauti na ambavyo ningechukua muda kuanza to go through codes kupata solution.

Kwangu mimi tunapaswa kufungua macho zaidi kuiona hii kama opportunity ya kutuwezesha kutengeneza products bora ambazo zitaunganishwa na AI ili kuweza kuchakata taarifa na kutoa suluhisho kwa changamoto za jamii yetu. Tusiitazame AI kama threat ila oppotunity.

Mfano 1: Nilijaribu kutumia AI kutuma picha ya jani la mimea ambao una magonjwa kati ya mimea 10 kwa magonjwa tofauti iliweza kunipa majibu sahihi kwa magojwa 7.

2. Nikajaribu kuweka picha ambayo iko na idadi tofauti tofauti ya watu na kuuliza kuna watu wangapi kwenye hizo picha ikanipa majibu sahihi kwa picha 5 kati ya 10.

3. Nikaweka picha nyingine ya watu wakiwa wanafanya action tofauti tofauti na ikanipa majibu sahihi kwa picha 4 kati ya 10

4. Nikaweka picha 10 za wanyama tofauti na kuiuliza ni mnyama gani ilinipa majibu sahihi kwa picha 6

Sasa kutokana na mifano hiyo niliweza kujifunza kuwa as much as ambavyo wanaendelea kuifundisha AI itakuwa bora zaidi na tutafika wakati ambapo tutaweza kutengeneza solution ambazo zita_automate task kwenye kila sekta.

Ukifikiri nje ya box kama wewe ni mfuatiliaji wa technology au uko na interest kwenye development ya products mbalimbali kuhusu technology utakuwa umepata idea nyingi sana za namna gani ya kuunganisha AI kwenye product zako.

Nimalizie kwa hili kwenye moja ya interview ambayo Elon Musk alikuwa na Jack Ma alisema watu wanafikiri kuwa nuclear ni hatari kwa ulimwengu, lakini AI ni hatari kubwa kuliko nuclear kwa kuwa siku za mbele zitatengenezwa silaha ambazo zinauwezo wa kujiamulia nini cha kufanya bia kupata instructions kutoka kwa mtu.
Your head's primary objective is not to store information.

Just to think, thats it.

Store your information somewhere else.
 
We iambie iamdike barua ya maombi kwa Tamisemi uipe na anuani then uone maajabu, within a second
Dear TAMISEMI,
I am writing to apply for the Junior Accountant position advertised on your website. As a recent graduate with a Bachelor's degree in Accounting and four years of experience working in the financial industry, I am confident that I would be a valuable addition to your team.
During my time at NBC Bank, I gained a strong foundation in accounting principles and developed my skills in financial analysis and reporting. I have experience working with financial software such as QuickBooks and Excel, and I am proficient in managing and reconciling financial accounts. In addition, I have excellent communication and problem-solving skills, which have allowed me to consistently meet deadlines and deliver accurate results.
I have attached my CV for your review. It provides a more detailed overview of my education and experience, as well as my skills and accomplishments. I am excited about the opportunity to join your team and contribute my skills and experience to your organization. Thank you for considering my application. I look forward to discussing this opportunity further and how I can contribute to the success of TAMISEMI.
Sincerely, [Your Name]

Hii nimetumia chatgpt
 
Imekaa vizuri
 
create a CV for me, applying job to TAMISEMI, 4 years of experience at NBC Bank Tanzania and TRA

Sure, here is a sample CV for someone with four years of experience at NBC Bank Tanzania and TRA, applying for a job at TAMISEMI:

[Your Name] [Address] [Phone Number] [Email Address]
Objective: To secure a challenging and rewarding role as an accountant at TAMISEMI, utilizing my Bachelor's degree in accounting and four years of experience in financial analysis, budgeting, and reporting.
Education:
  • Bachelor's degree in Accounting, University of Dar es Salaam (2017-2021)
  • CPA (Certified Public Accountant), Institute of Certified Public Accountants of Tanzania (2022)
Work Experience:
  • Accountant, NBC Bank Tanzania (2022-present)
    • Conducted financial analysis, budgeting, and reporting for the bank's commercial and retail lending portfolio
    • Assisted in the preparation of the bank's monthly, quarterly, and annual financial statements
    • Participated in the bank's risk management and compliance committees
    • Collaborated with internal and external auditors to ensure the accuracy and completeness of financial records
  • Accountant, TRA (2021-2022)
    • Assisted in the preparation of the organization's budget and financial forecasts
    • Created and maintained accurate financial records for the organization's projects and programs
    • Conducted financial analysis and provided recommendations to management for improving financial performance
    • Assisted in the preparation of the organization's annual financial statements and tax returns
Skills:
  • Proficiency in accounting software, including QuickBooks and SAP
  • Strong analytical and problem-solving skills
  • Excellent communication and interpersonal skills
  • Fluent in English and Swahili
Professional Memberships:
  • Member, Institute of Certified Public Accountants of Tanzania
References: Available upon request

write a cover letter for my cv

Certainly! Here is a sample cover letter that you can use to accompany your CV:

Dear [Hiring Manager],
I am writing to apply for the position of accountant at TAMISEMI, as advertised on [job posting website]. As a recent graduate with a Bachelor's degree in accounting and four years of experience in financial analysis, budgeting, and reporting, I believe I am a strong fit for this opportunity.
At NBC Bank Tanzania and TRA, I gained valuable experience in conducting financial analysis, creating and maintaining accurate financial records, and assisting in the preparation of financial statements and budgeting. I also developed strong analytical and problem-solving skills, as well as excellent communication and interpersonal skills.
In addition to my professional experience, I am a CPA (Certified Public Accountant) and a member of the Institute of Certified Public Accountants of Tanzania. I am proficient in accounting software, including QuickBooks and SAP, and fluent in English and Swahili.
I am excited about the opportunity to join TAMISEMI and contribute my skills and experience to your organization. Thank you for considering my application. I look forward to the opportunity to discuss my qualifications further with you.
Sincerely, [Your Name]

I hope this sample cover letter is helpful! If you have any questions or need further assistance, please don't hesitate to ask.
 
mfano tuwekee sample iwe barua iliyotengenezwa na hio ai
Jamiiforums is a forum for Tanzanians and others to discuss politics, daily events, and various other issues. Write a blog to convince others to join and participate in the forums.

Have you ever wanted to be more informed about what's going on in your country, or to have a platform to share your thoughts and ideas with others? If so, Jamiiforums is the perfect place for you!
Jamiiforums is a forum for Tanzanians and anyone else interested in discussing politics, current events, and a variety of other topics. It's a great way to stay up to date on the issues that matter most to you, and to engage in meaningful conversations with like-minded individuals.
One of the best things about Jamiiforums is that it provides a safe and respectful space for people to share their opinions and ideas. Whether you agree or disagree with someone else's perspective, the most important thing is to be respectful and open-minded. This kind of respectful dialogue is essential for fostering a healthy and thriving community.
So why should you join Jamiiforums? Here are just a few reasons:
  1. Stay informed: Jamiiforums is a great way to stay up to date on the latest news and developments in your country. You'll find a range of perspectives and opinions, which can help you get a better understanding of the issues at hand.
  2. Share your thoughts: Do you have something to say about the latest political developments or current events? Jamiiforums is the perfect place to share your thoughts and ideas with others.
  3. Meet new people: Jamiiforums is a great way to connect with like-minded individuals from all over the country. You'll have the opportunity to make new friends and learn from others with different perspectives and experiences.
  4. Be part of a community: When you join Jamiiforums, you'll become a part of a vibrant and engaged community of people who are passionate about the issues that matter most to them.
So if you want to stay informed, share your thoughts, meet new people, and be part of a community, join Jamiiforums today!
 
Write an article 1000 words explaining why Tanzania is poor and what should be done to lift the country out of poverty

Tanzania is a country that is rich in natural resources, yet it remains one of the poorest countries in the world. There are several reasons for this, including a lack of political stability, corruption, and a lack of infrastructure. In order to lift itself out of poverty, Tanzania must address these issues and implement policies that promote economic growth and development.
One of the biggest challenges facing Tanzania is political instability. The country has experienced several coups and changes in government over the years, which has led to a lack of continuity and a lack of progress. Political instability also leads to a lack of investment, as investors are hesitant to put their money into a country where the political situation is uncertain. In order to overcome this, Tanzania must establish a stable and predictable political environment that is conducive to economic growth.
Another factor contributing to poverty in Tanzania is corruption. Corruption is a widespread problem in the country, and it has a negative impact on all aspects of life. It undermines the rule of law, discourages investment, and hinders economic development. To address this problem, Tanzania must implement strong anti-corruption measures and hold corrupt officials accountable for their actions.
A lack of infrastructure is also a major obstacle to economic development in Tanzania. The country has a poorly developed road network, limited access to electricity, and a lack of modern ports and airports. These issues make it difficult for businesses to operate and for people to access essential services such as healthcare and education. To overcome this, Tanzania must invest in infrastructure development, including improving its roads, building modern ports and airports, and expanding access to electricity.
In conclusion, Tanzania is a country that is rich in natural resources but is held back by political instability, corruption, and a lack of infrastructure. To lift itself out of poverty, Tanzania must address these issues and implement policies that promote economic growth and development.
 
Hii chatGPT ina accuracy kubwa na inaandika fasta wakati ikiwa kwenye hatua ya beta lakini model yake inategemea majibu ya internet Sana Kwa organization level naiona kama bado ni chalenji hasa zile ambazo hazina infrastructure ya kuhifadhi data Kwa mtindo WA digitali na haya mabando ya bei serikali inatengeneza ugumu Sana WA uundaji WA AI zitakazoelewa lugha ya kiswahili
View attachment 2435786
Niliendelea kuuliza na majibu yalikuwa ya kulizisha
View attachment 2435787
Unaweza kuchati Kwa linki hii
Ngoja wabaki kwenye Kiingereza maana wewe Kiingereza hujui na Kiswahili hujui, hivyo huna tofauti na mbuzi au msukule!
Unaandika " kulizisha" × ni kuridhisha✓
 
Back
Top Bottom