Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka attention tuu, potezea kama huna cha kuchangiaWewe ndiye mpumbavu unayeamini kila kitu bila kuchuja wala ku-digest!
Kuna kitu kinaitwa " mens rea"! Hicho hiyo AI hakiwezi kuwa nacho kwasababu ya kuwa iko programmed! Hiyo mens rea ni Natural Intelligence na siyo Artificial Intelligence na hivyo perfection haiwezi kufikiwa!
Hakuna programming kwenye AI technology, only trainingWewe ndiye mpumbavu unayeamini kila kitu bila kuchuja wala ku-digest!
Kuna kitu kinaitwa " mens rea"! Hicho hiyo AI hakiwezi kuwa nacho kwasababu ya kuwa iko programmed! Hiyo mens rea ni Natural Intelligence na siyo Artificial Intelligence na hivyo perfection haiwezi kufikiwa!
Ila ina hatari kubwa sana ya kutengeneza vitu vinavyofanana hasa kwenye uandishi wa CV na cover letter...Kudadeki dunia ni kijiji acha technology ifanye yake wale wa barua nzuri ni mwendo wa ku-copy na paste 🤪🤪
Bad enough ni moja ya plugin ambayo unaweza iplug kwenye WordPressHili dude ni noma wanakwambia baada ya miaka kama mitano kuna ajira zitaondoshwa ila hii ni fursa nzuri sana kama ukijua kuitumia kwa sababu unaweza tumia free APIs zake kutengeneza product yako na ukapiga $$$$ za kutosha
Haswa haswa hiyo poem afanye jambo...😋😋Maxence Melo pls pitia huku ututoe tongotongo
Sahihi, na hili ndio muhimu zaidi kuzingatia.inasaidia japo sio 100% accuracy, kwahiyo lazima na wewe ujiongeze kuboresha majibu unayopewa.
Safi sana.Binafsi naitumia kuandika baadhi ya code, then kazi yangu inabaki ku-edit baadhi ya vitu; and I am loving it!🥳 Wakati huo kule Discord kuna binamu anaitwa Midjourney - tunamtumia kutengeneza images - and jaw dropping epic!
Nilijua ni namna nyingine ya Kylinda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]