Pamoja na yote, kuna baadhi ya wana JF hawapo updated na mambo yanayoendelea huku duniani.
Juzi juzi hapa kampuni ya openAI ilizidua chatbot yao (chatGPT) mpaka sasa ndani ya siku hizi 5 -7 imesha pata zaidi watumiaji 1M
honesty ukiachana na viumbe hai, kitu nacho kipenda cha kwanza ni computer pamoja na mifuo yake.
Kwa maoni yangu huu ni mfumo hatari zaidi wa computer miaka mi 3 - 5 ijayo. Jaribu kufikiri mfumo wa computer unweza kundaa dissertation au Thesis, mfumo unaweza kuandika essay, unweza kukupa ushauri etc
Pia cha ziada mfumo unweza ku program software kwa language mbalimbali Java, Js etc.
Ikitokea siku watu wabaya wakiutumia itakuaje, Duniani hakuta kalika. Bora tuanze kwa kuzuia kwa kuanza kuupiga marufuku