SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
mhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhh
View attachment 2479159
=
Nimeandika ID yako, Nayo ikanipa hayo maelezo [emoji115] [emoji119]
=
View attachment 2479167
Mkuu..nitatakiwa kulipia?Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana , nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa
Kwa sasa ni bure kabisaMkuu..nitatakiwa kulipia?
Naona kuna malipo ya wiki na ya mwezi
Google chatgpt then fanya simple registration, hii kitu ina human level conversation, cheza nayo utaielewa au ingia youtube utaelwa zaidiInafanyaje kazi mkuu.
Thesis unawezaje kuandaliwa kirahisi hivyo!
Nafikiri kwa sababu haiko connected na internet, nasikia next generation itakuwa connected so data zitakuwa in real time, sasa hivi ni text tuu ila nasikia voice, images, videos etc vyote vitakuwa incude
Hao ni wahuni wanaotumia API ya openAI kuibia watu, chatGPT bado ni free, google chatgpt utaiona tuu then fanya simple registration uanze kuitumia
nilifuatilia wakati wanaizindua ,jamaa wamekuja vzr sanaHii ngoma inaweza kuua hadi google search, na hapo unaambiwa bado ipo kwenye BETA.
Wamenipa limit ya kuchat 5 messages tuKwa sasa ni bure kabisa
Hiyo siyo yenyewe, ingia kwenye website yao kabisa ya chat.openai.comWamenipa limit ya kuchat 5 messages tu
Unawezaje ku detect kama content imekuwa generated na AI model kama ChatGPT?ChatGPT ni nzuri lkn ndio mwanzo na step nzr ya tech colonialism.
Wanaenda ku-cap knowledge ya watu. Duniani tutajazwa garbage na itafikia hatua kutakua na wataalam wachache saaana na hao watamilikiwa na mamlaka zilizolenga kufaidika na huu ukoloni, kwangu chatGPT ni kama game tu au assistant, naipaga movies nnazopenda then inanipa suggestions kutokana na taste zangu, na pia kwa sababu napenda Ancient chinese poetry huwa naiambia initungie poems kwa style za kina Zhuge Liang, Cao Cao etc..... Ila hata siku moja siwezi fanya kitu serious na chatGPT.
In simple terms hii AI model imetrainiwa kutokana na data watu walizoandika mitandaoni toka enzi zile. Sasa kwa speed hii nmeona blog posts nying zimeanza kutumia hii AI generated content. Kwa maana hio in 2 to 5 years ChatGPT itakua inalearn kutumia 'its own output' coz ndo zitakazokua zimejaa online kpnd hiko and trust me kama ushafanya AI development na ukajaribu kutrain model yako kwa output yake basi unafaham kiakachokukuta. Ni kama vile binadam uwe unakula nnya yako. Facebook na twitter wanajua vzr madhara ya hio kitu coz iliwatokea kwenye algos zao za newsfeed suggestion kpnd fln miaka ya nyuma.
Mitandao inayoendeshwa na akili kubwa kama StackOverflow wameshazuia hizo content kutoka ChatGPT
Twende Pamoja.Unawezaje ku detect kama content imekuwa generated na AI model kama ChatGPT?
Kwa bahati mbaya hatuna wanafunzi ambao ni smart. Wengi wataishia ku_copy na ku_paste kila kitu.3. Mashuleni na vyuo inabidi wabadilishe mfumo wa ku asses wanafunzi. Kwa mfano hizi homework/group work zitakuwa hazina maana tena. May be sasa inabidi ziwe complex localized scenario ambayo chatgpt haiwezi kuwa na majibu yote..lakini bado inaweza kusaidia kukupa idea za ujumla.