Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kama uko Serious basi Unakiwango duni sana cha kufikiria kwa umakini
 
Pamoja na yote, kuna baadhi ya wana JF hawapo updated na mambo yanayoendelea huku duniani.

Juzi juzi hapa kampuni ya openAI ilizidua chatbot yao (chatGPT) mpaka sasa ndani ya siku hizi 5 -7 imesha pata zaidi watumiaji 1M

honesty ukiachana na viumbe hai, kitu nacho kipenda cha kwanza ni computer pamoja na mifuo yake.

Kwa maoni yangu huu ni mfumo hatari zaidi wa computer miaka mi 3 - 5 ijayo. Jaribu kufikiri mfumo wa computer unweza kundaa dissertation au Thesis, mfumo unaweza kuandika essay, unweza kukupa ushauri etc

Pia cha ziada mfumo unweza ku program software kwa language mbalimbali Java, Js etc.

Ikitokea siku watu wabaya wakiutumia itakuaje, Duniani hakuta kalika. Bora tuanze kwa kuzuia kwa kuanza kuupiga marufuku
Kwa hiyo unataka kitu kinachoweza fanya yote hayo mazuri uliyo yasema tukipige marufuku?
 
Sasa elimu ya bongo kwaheri hapa ukipewa group au individual work chuo unaingiza shwali Kama lilivyo kazi yako ni kwenda print tu na kukusanya
Duuu! hatari sana. Ila sio matumizi sahihi. Utakwama kwenye UE. maana utakuwa mweupe kichwani.
=


1673699577270.png
 
Kama ni kilaza hata ukitumia hii chatgpt bado haitakusaidia kitu. Hii itakusaidia kupata taarifa/input kwa urahisi lakini haiwezi kukufanyia kila kitu.
Hii tech ina pande mbili na Iko hivi,
- Kilaza ataendelea kuwa kilaza zaidi,
- Na mtu ambaye ni smart atakuwa smart zaidi, [ Kwa mtu smart, chukulia project aliyopaswa kuikamilisha kwa siku 30, badala yake anatumia siku 2] kutokana na usaidizi atakaokuwa anapata toka AI. mbali mbali, Hili linafanyika sasa hasa katika njanya kama website design.
 
Hii tech ina pande mbili na Iko hivi,
- Kilaza ataendelea kuwa kilaza zaidi,
- Na mtu ambaye ni smart atakuwa smart zaidi, [ Kwa mtu smart, chukulia project aliyopaswa kuikamilisha kwa siku 30, badala yake anatumia siku 2] kutokana na usaidizi atakaokuwa anapata toka AI. mbali mbali.
Ni kweli mkuu.
Ni kama ilivyo kwenye matumizi ya Google.
 
Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana , nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa
CHATGP inamuelekeo mzuri na itateka na kuangusha baadhi ya mifumo ya utafutaji content kwenye mtandao japo kwa sasa bado siwezi kusema sana ila bado kufika huko.....
Inakupa kila kitu kwa jinsi unavyo hitaji katika mpangilio unao hitaji na kwa % kubwa, hata ukitaka ikuandikie simple program ,Thesis, blog content etc inakufanyia.
Ukitaka kujua bado ina mapungufu copy content ya kingereza iambia itransilate kwenda kwenye kiswahili utaona makosa mengi.
CHATGP yasasa as on Jan 2023 ina info kuanzia Dec 2021 kurudi nyuma na info zote Jan 2022 todate hazipo.Bado kwenye majaribio na wana mpango wa kuweka mpya ambayo iko improved zaidi soon.
Nafurahi kuwa kati ya watu wa kwanza TZ kuitumia Last year 2022 todate😊
 
Your head's primary objective is not to store information.

Just to think, thats it.

Store your information somewhere else.
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
 
Sawa, tunategemea madokta wawe wanaingia na vitabu kwenye upasuaji, au wanaingia na tablet zao, wanatoboa mtu then wanaangalia michoro kwenye hizo tab ndo wanaendelea na upasuaji.

Your comment is among the dumbest things I've seen in 2023 so far
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ni mvivu wa kufikiri
 
Wewe na huyu Gushleviv mnaongelea kitu ambacho hamkijui.

Kuna wimbi la cheap developers lakini the real geeks wa code wanapungua kila kukicha, chanzo kikubwa ni issue kama hizo. Maisha kurahisisha sana inafikia muda innovation itakufa. Ili mtu uweze kuvumbua mambo inabidi uwe na deep knowledge kwenye fani husika au uwe na watu wenye hio deep knowledge. Na ndo maana watu wenye uwezo mkubwa wa kudesign na kuinnovate products wanapenda kuwa na timu ndg ndg ila za vichwa, angalia mfano wa elon musk, ndo maana alipofika twitter kitu cha kwanza alianza kupunguza developers uchwara.

Mimi nimefanya kazi na Code wranglers wa makampuni mawili makubwa ya internet, ni vichwa haswa na kila nikifikiria naona vichwa kama hvo ni ngumu kuja kuvipata miaka ya mbeleni huko. Mtu anaejua exactly codes zikienda zinafanya nn at each and every step. We unadhan kutengeneza hizo ecommerce app au fintech app ndo kuwa developer? Hayo mambi sasahv naclick tu na tyr inatengenezwa, na hizo tool zitareplace devs uchwara wote mnaowasupport na huo ujinga.

Innovations kama Torrent, Blockchain etc... zilitokea sababu watu waliotengeneza walikua na deep knowledge ya wanachofanya.

Lkn haina haja kubishana na watu hapa as long as najua me and my house we are safe.
Mkuu nafahamu IT ni field yako lakini nina uhakika hujanielewa hapo juu nilichomaanisha. Once again nasema ni mapema mno kuanza kuikosoa ChatGPT..wazungu wanaona mbali mno..comments zako zipo negative zaidi juu ya hiyo kitu na hapo ndipo ninapopishana na wewe kimtazamo.
 
One thing that I know for sure, THEY WILL KEEP IMPROVING IT. Actually, wameiachia bure watu waitumie kwa sasa sio kwa lengo la kuwasaidia watu, au kuwafaidisha watu, bali wameiachia ili wajue mapungufu ya ChatGPT kabla hawajaiachia rasmi, pengine kwa mfumo wa App, au browser extension etc. Kwa lugha nyepesi, hivi sasa hii ChatGPT iko kwenye Beta version, bado wanaifanyia maboresho - na njia nzuri ya kujua mapungufu yake ni kuruhusu watu waitumie. Na kadiri watu wengi wanavoitumia ndivyo inavyozidi kuwa smart.

Binafsi naitumia kuandika baadhi ya code, then kazi yangu inabaki ku-edit baadhi ya vitu; and I am loving it![emoji3060] Wakati huo kule Discord kuna binamu anaitwa Midjourney - tunamtumia kutengeneza images - and it is jaw dropping epic!
Midjourney vs Dall - E unaichagua ipi? Maana Dall - E ni project ya OpenAI pia.
 
Back
Top Bottom